Lissu: Msimlalamikie Mwigulu Nchemba

Lissu: Msimlalamikie Mwigulu Nchemba

Declasfied

New Member
Joined
Nov 7, 2022
Posts
3
Reaction score
5
Msimlalamikie Mwigulu Nchemba, Mwigulu Nchemba ni Karani tu, anayetoa ridhaa ni Rais ndio maana mkipiga kelele sana, anakuja amasema kwa sababu nawapenda sana, nimeondoa tozo, halafu anataka muamini kwamba hizi tozo zimeletwa na Mwigulu Nchemba."-Alisema
@TunduALissu
 
kwasababu ni ndugu yako Mnyiramba mwenzako
 
Ni kweli, wajinga huwa wanamtumia Mwigulu kama kinga ya kuficha udhaifu wa Samia, lawama zote wanamtupia yeye, kama vile yeye ndie Rais wa nchi..

Kumbe yupo Rais anayeona hayo mapungufu na wala hayafanyii kazi!.
 
Back
Top Bottom