Hakuna ubishi ya kwamba Lissu ni moja ya akili kubwa tulizonazo hapa nchini ukiondoa mapungufu ambayo hakunaga binadamu asiekuwa na mapungufu.
Kitendo cha Lissu kutaka kuwa Mwenyekiti wa chama chake na kuanza kuonekana kutishia utawala wa mzee Mbowe na dalili mbaya kwa chama na Lissu pia.
Mzee Mbowe atatutumia machawa na atabakia madarakani ,Je Lissu atakaposhindwa hata ile kiu yake ya kutaka kugombea urais ndio itakuwa imefika Mwisho .