Hakuna ubishi ya kwamba Lissu ni moja ya akili kubwa tulizonazo hapa nchini ukiondoa mapungufu ambayo hakunaga binadamu asiekuwa na mapungufu.
Kitenda cha Lissu kutaka kuwa Mwenyekiti wa chama chake na kuanza kuonekana kutushia utawala wa mzee Mbowe na dalili mbaya kwa chama na Lissu pia.
Mzee Mbowe atatutumia machawa na tabakia madarakani ,Je Lissu atakaposhindwa hata ile kiu yake ya kutaka kugombea urais ndio itakuwa imefika Mwisho .