Lissu na Heche wanatakiwa kuelimishwa protocal za mavazi. Tai nyekundu ni ishara ya mamlaka lakini kaivaa Heche badala ya Lissu

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Najua hawa jamaa ni wa mikoani na hawajui protocol za mavazi kimamlaka.

Tai nyekundu ni ishara ya mamlaka na huvaliwa na the topmost kimamlaka.

Kama the top boss yupo, wa chini yake anatakiwa asivae tai nyekundu. Hili nalo mpaka mfundishwe?

Screenshot_20250228-112735.jpg
 
Najua hawa jamaa ni wa mikoani na hawajui protocol za mavazi kimamlaka. Tai nyekundu ni ishara ya mamlaka na huvaliwa na the topmost kimamlaka. Kama the top boss yupo, wa chini yake anatakiwa asivae tai nyekundu. Hili nalo mpaka mfundishwe?
View attachment 3252839
Ndivyo mnavyodanganyana huko CCM-Samia? Kwamba tai nyekundu ni ishara ya mamlaka? Mamlaka ya kumwaga damu au?
 
Najua hawa jamaa ni wa mikoani na hawajui protocol za mavazi kimamlaka. Tai nyekundu ni ishara ya mamlaka na huvaliwa na the topmost kimamlaka. Kama the top boss yupo, wa chini yake anatakiwa asivae tai nyekundu. Hili nalo mpaka mfundishwe?
View attachment 3252839
Tunataka viongozi wachapa kazi, hayo ya mavazi si kipaombele kwenye nchi yenye shida ya matundu ya Vyoo zaidi ya miaka 60 ya Uhuru
 
Najua hawa jamaa ni wa mikoani na hawajui protocol za mavazi kimamlaka. Tai nyekundu ni ishara ya mamlaka na huvaliwa na the topmost kimamlaka. Kama the top boss yupo, wa chini yake anatakiwa asivae tai nyekundu. Hili nalo mpaka mfundishwe?
View attachment 3252839
HAO WEZI AKINA MADELU NA HICHO KIBIBI WAO WANAFUATA PROTOCOL ZIMETUSAIDIA NN ZAID YA KUONGEZA WIZI NA UMASKINI NCHIN? MUHIMU SIO PROTOKAL MUHIMU NI WELEDI
 
Ni kweli mkuu naimani watalizingatia wakati mwingine
 
Kama mbele
 
Attachments

  • EAC77A2E-7D46-449F-8199-6B9F105DDE53.jpeg
    EAC77A2E-7D46-449F-8199-6B9F105DDE53.jpeg
    44.4 KB · Views: 1
Haya back to Mama,lini alivaa tai nyekundu zaidi ya kiremba
 
Kumbe Tai nyekundu inatakiwa kuvaliwa na Top leader! Mleta mada unakariri maisha!! Hiyo siyo principal Mkuu ni matazamo tu tena usio rasmi.
 
Najua hawa jamaa ni wa mikoani na hawajui protocol za mavazi kimamlaka. Tai nyekundu ni ishara ya mamlaka na huvaliwa na the topmost kimamlaka. Kama the top boss yupo, wa chini yake anatakiwa asivae tai nyekundu. Hili nalo mpaka mfundishwe?
View attachment 3252839
Kwani makamu Mwenyekiti sio mamlaka?
 
Nawachukia wazungu, ona bado kuna watu wanaabudu western culture katika mavazi.
 
Back
Top Bottom