Katiba Yetu #WenyeNchiWananchiNapendekeza
1. Wananchi Ndio wenye Nchi Katiba Initiative au
2. Katiba ya wananchi Initiative
3. Or any other catching words one might think of and get accepted by many
Hata mkiweka catching words/phrases kama wanaoongoza initiative ni hao hao viongozi wenu hakuna kitu.Lazima kuweka maneno ambayo yanaamsha hisia za watu kuwa hil ni la kwetu na si la serikali kama wanavyotaka kufanya kuuteka tena mchakato wa katiba.
Napendekeza
1. Wananchi Ndio wenye Nchi Katiba Initiative au
2. Katiba ya wananchi Initiative
3. Or any other catching words one might think of and get accepted by many
Hata mkiweka catching words/phrases kama wanaoongoza initiative ni hao hao viongozi wenu hakuna kitu. Mfano mkisema, "Katiba ya wananchi", lakini initiative inaongozwa na mtu kama tundu lisu unadhani mwananchi gani mwenye akili timamu atawasikiliza?...
mtu mmoja aliwahi kusema katiba ama katiba mpya inasehemu nyingi sana,na inapaswa kuwa nazo nyingine za kurekebisha pia.
lakini campaign ya hawa jamaa imekoma ktk uchaguzi tu.
kuna maswala ya uchumi,usalama,ulinzi,sheria,elimu,biashara kote huki kunahitaji marekebisho.
Wanapenda vitu fulani vigumu vigumu vifanyike ila vifanywe na wengine. Wao wakifuatilia online na kugonga “likes”wakiwa wamejificha home. Muulize Mange Kimambi.Aliwaambia mkutane buguruni shell hakuna hata mdudu aliyetoka ndipo alipoamua kwenda mbio ubalozi wa ujerumani Lissu anawajua vyema wafuasi wake walivyo waoga!
Mnataka katiba gani tena Ili hali mlikimbia mchakato mkaunda ukawa? Hebu kuweni siliazi na Kodi zetu jamani! Maana hamkawii kukimbia tena mchakato ukianza!Lazima kuweka maneno ambayo yanaamsha hisia za watu kuwa hil ni la kwetu na si la serikali kama wanavyotaka kufanya kuuteka tena mchakato wa katiba...
Kuwa mpole muda utasema.. With ambition it's never too lateAliwaambia mkutane buguruni shell hakuna hata mdudu aliyetoka ndipo alipoamua kwenda mbio ubalozi wa ujerumani Lissu anawajua vyema wafuasi wake walivyo waoga!
I can tell you, katika ukoo wenu wote it might be hakuna mtu mwenye akili kama Lisu! Sina undugu wala unasibu a Lis, lkn ukweli kuhusu Lisu uko hivyo. Ni ukweli uliojificha uwa Lisu alishinda Urais... kama CCM inajiamini na inapendwa, kwanini polisi wakimbie na masaduku ya kura? Kwanini mawakala wafukuzwe vituoni? Talk sense na si ushabikiakini initiative inaongozwa na mtu kama tundu lisu unadhani mwananchi gani mwenye akili timamu atawasikiliza?
Chadema wanatafuta nyenzo za kufaya hayo, na ni KATIBAatizo la chadema sasa hivi ni kwamba hamzungumzii kabisa mahitaji halisi yanayowagusa wananchi moja kwa moja kama huduma za afya, maji, shule, barabara nk
Kama wamejikita kwenye uchaguzi tu, si wangeng'ng'ania tume huru ya uchaguzi kama Zito? Tafsiri ya upotoshaji ruksa. Lakini tunajua tutakacho na hatuhami kwenye hilo.
Nimewakumbusha tu Lissu alivyonidokeza!Kuwa mpole muda utasema.. With ambition it's never too late