PreGE2025 Lissu na kauli mbiu ya “No Reforms, No Election” ni mipango ya Mungu au ya Shetani kutusambaratisha?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Umezunguka wee ukidhani watu hawatabaini kusudio la mada yako. Unadai uko ‘objective’ katika andiko lako lakini ukada wako unakusaliti. Unatumia dhana za mpango wa mungu na mpango wa shetani ambazo ni dhahania kana kwamba una uthibitisho nazo. Kama unaamini katika kinachoitwa mpango wa mungu, kuna mpango mwingine wowote (kmf wa shetani) unaweza kuwa nje ya mpango huo wa mungu? Au mpango wa mungu kwa CDM unahusisha pia mpango wa shetani! Mwandishi mbobevu na wakili, ‘too insanity’ inamaanisha nini? Kuwa ‘insane’ ni ugonjwa au ni hali ya kawaida unavyodai?
 
Pasco wewe ni wakala wa shetani kabisa.
 
Wewe ni CCM , Chadema wasiposhiriki uchaguzi unaumia nini?

Unaogopa nini kujisema wewe ni kada wa CCM hadi useme wewe ni kada wa chama?

Hujawahi kukemea uhuni mnaofanya kwenye uchaguzi sasa Chadema inasema haishiriki nendeni wenyewe mkajitangaze washindi kama mlivyozoea bado hamtaki?
 

Lissu ataudhihirisha ukuu wa Mungu. Udhalimu umezidi katika Taifa hili, na zaidi aliuasisi Magu
 

Attachments

Samahani Mayala ulipata nafasi yoyote kwenye jukwaa lenu la waandishi maana sio kwa ujinga huu unaoandika.

Huyo mayala ni mzee wa hovyo. mzee wa utopia
 

Attachments

Lissu hataki amani wala maendeleo ya taifa lake..

Hata bwawa la umeme rufiji amelipinga hadharani na anaendelea kuliponda mpaka leo hii

Lissu makinikia alikuwa anawatetea acacia na barrick kama na yeye ni m canada vile

Kuna siku uliumizwa na haya matukio?
 
Naamini kabisa @Mh Tundu Lissu ni mpango wa Mungu kuja kutukomboa Watanganyika kutoka kwa hawa wakoloni wetu weusi wanaoitwa CCM!

Nina imani pia Watanganyika wengi wenye akili timamu, tunamuunga mkono @Mh Tundu Lissu na chama chake cha CHADEMA kupitia hii kauli No reform, no election!

Hakika wananchi tumechoshwa na haya maigizo yanaoitwa uchaguzi! Ni wakati sasa wa kuhakikisha mshindi anapatikana kwa haki. Na kama CCM wanajiamini huwa wanashinda kwa haki, ni kwa nini sasa wanaogopa kukubaliana na matakwa ya CHADEMA?
 
Hatusambaratiki. Bila reforms hatuwezi kuendelea Kamwe. Bila reforms hatuwezi kuendelea Kamwe. Kwasababu chama kikikaa sana madarakani kwa mgongo wa mfumo huota kiburi. Hebu fikiria una mfumo wa uchaguzi ambao matokeo yakishatangazwa huruhusiwi kwenda mahakamani kupinga. Kwa zama hizi kweli tunapaswa tuwe hivyo? Hapana lazima tutoke huko na hapo tukifanya reforms ndiyo chama kinachoshinda na kushika Dola kitambue kwamba clients wetu ni wananchi. Rejea social contract theory ya Thomas Hobbes na John Locke. Hivyo serikali itawajibika kutumikia mkataba wake na wananchi. Wakishindwa wananchi wanakuwa na haki ya kuuvunja mkataba.
 
Kwenye hili shetani ni yeyote yule anayekataa REFORMS huku akishinikiza uchaguzi ufanyike!
Yeyote anayeunga mkono REFORMS yupo na MUNGU!
Haki uliinua taifa! Bali Mazingaombwe, fitna, janja janja, uchawa ni uliangamiza taifa!
 
Kuna wakati mipango ya shetani huwa mipango ya Mungu pia.

Ila mipango ya Mungu haiwezi kuwa ya shetani
Jibu ni jepesi sana. Mtu hawezi kufa kama Mungu akisema hafi.

Kwa kuponywa na mauti kwenye risasi 17 za CCM na wajinga wachache wa usalama wa Taifa, Tundu Lissu ni mpango wa Mungu.

Mpango wa Shetani kuwafanya Watanzania wasipate maendeleo ya kweli na wazidi kuwa masikini ni CCM.
 
The answer is simple!.
Je, mpango huu unalenga kuleta haki na ukweli au la?.
 

Inasemekena moja Kati ya side effects alizo zipata Mh. TAL baada ya kupigwa risasi, baadhi ya mishipa na misuli muhimu kwenye via vyake vya uzazi iliathirika vibaya so jogoo wake hana tena uwezo wa kuwika.

That's why he has nothing to loose.

Watanzania wanapaswa kuwa makini Sana na Lissu. Amechanganyikiwa
 
Acha kujitoa ufahamu mwishowe utakuwa Mwehu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…