PreGE2025 Lissu na kauli mbiu ya “No Reforms, No Election” ni mipango ya Mungu au ya Shetani kutusambaratisha?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Lisu sio agent wa shetani, Lisu ni kapepo tu na agent wa vibaraka kutoka huko magharibi ilipo familia yake, hapa yupo kuivuruga Chadema eti akidhani ataweza pia kuivuruga nchi pia kwa maslahi ya hao mabwenyenye yanayomfadhili yeye na familia yake 🐒
 
Tundu Lissu ni mpango wa Mungu, na mwaka huu lazima kinuke na kitanukishwa KWELI
 
Lisu sio agent wa shetani, Lisu ni kapepo tu na agent wa vibaraka kutoka huko magharibi ilipo familia yake, hapa yupo kuivuruga Chadema eti akidhani ataweza pia kuivuruga nchi pia kwa maslahi ya hao mabwenyenye yanayomfadhili yeye na familia yake 🐒
 
 

Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB
 

Attachments

  • afa324ad11e13100ecbde650d0c342b2_1743188102623.mp4
    5.9 MB
Hivi hujishtukii tu mzee.
Mbona unakuaa kama Shoga wa kino mkuu.
Naiman ulifatilia bless ya G55 ulisikia maswali yaliyoulizwa na maandishi making lakini.
Vile virtual hiwezi via.
Acha ujinga umeshakuwa mbuzi wewe
 
Wee njaa inauma sio bure
 
Raisi akubali kufanya reforms vinginevyo raisi anatumika na shetani kuikataa sauti na hitaji la watanzania
 
Hivi aliyeanzisha NRNE ni uongozi upi kati ya Lissu na Mbowe?


Kwako Pascal Mayalla
Ni mbowe wakati anaanzisha ilikuwa tu geresha kwa wanachama ili mwishowe apige hela ya ccm vizuri na kisha alegeze kamba lakini Lisu kachochea kuni mbichi na petroli juu hadi huko aliko MBOWE na wafuasi wake hawaamini kama wao ndo waasisi wa no reforms no election sasa wanatafta namna ya kuuzima huo moto wa lisu na heche kama ule wa-california
 
Yaani miongoni mwa watu insane ni bwana njaa kwa mjibu wa bwana Dr John Pombe Magufuri
 
Hii mada ukiisoma vizuri kwa kutulia utaona 'insanity' ya mleta mada.
 
Hivi bro ni kama unatoana sisi ni wajinga sana ama? Tuanzie hapo kwenye vifungu unavyosema ni ubatili, ww ni mwanasheria na unaona kabisa kuna ubatili, kwanini huendi mahakamani, lakini kila siku unaleta post ndefu na hatua huchukui! Unawalaumu cdm kwa kusema hawataki kushiriki uchaguzi, lakini hata ww hufanyi lile unalopaswa kufanya! Tuanzie hapo ili tuendelee na nongwa zako nyingine kwa cdm, haswa Tundu Lisu.
 
Umesahau PROJECT YA KUSHINDA UCHAGUZI wana deni kubwa hivyo wanataka kulilipa kwa kuleta mapinduzi
 
Kuna namna hii No Reform No Election inakunyima kabisa usingizi mleta mada ambaye ni kada rasmi wa CCM. Hii sijui ni mada yako ya ngapi ndani ya masaa 24.
Kuna kitu kizito nimenusa.
Muda utajibu.
Huyu si mtu wa propaganda wa Tiss idara ya siasa anatumwa kupima upepo
 
Kuna wakati mipango ya shetani huwa mipango ya Mungu pia.

Ila mipango ya Mungu haiwezi kuwa ya shetani
Mimi ni mtumishi wa Mungu. najua ni kiasi gani ni vigumu kwa mtu kukataa pesa! watumishi wengi wa Mungu nimeona wakihongwa wakahongeka. ILA LISSU ALIKATAA HONGO YA ABDULI. huyu mtu ni zaidi ya watumishi wengi wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…