PreGE2025 Lissu na kauli mbiu ya “No Reforms, No Election” ni mipango ya Mungu au ya Shetani kutusambaratisha?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
🤣🤣🤣
 
Lissu hataki amani wala maendeleo ya taifa lake..

Hata bwawa la umeme rufiji amelipinga hadharani na anaendelea kuliponda mpaka leo hii

Lissu makinikia alikuwa anawatetea acacia na barrick kama na yeye ni m canada vile
Ila wanauza bandari na mbuga za wanyama Ndio wanaitakia amani Nchi? Jinga wewe
 
Umeandika sana ila swali ni jepesi mno… No reform, No election sio mpango wa Mungu wala haina lengo la kutusambaratisha ila ni mpango wa watu wenye akili timamu wenye lengo la kusambaratisha ufisadi.
 
Kuna namna hii No Reform No Election inakunyima kabisa usingizi mleta mada ambaye ni kada rasmi wa CCM. Hii sijui ni mada yako ya ngapi ndani ya masaa 24.
Kuna kitu kizito nimenusa.
Muda utajibu.
Humfahamu vizuri Mayalla, huyu ni mwanademokrasia mpenda haki yu upande wetu kuwapo CCM lisikusumbue jitahidi kumsoma utamwelewa.
 
Father of All soma hapa Ili ufute ujinga wako kichwani mwako!
 
Umeandika sana ila swali ni jepesi mno… No reform, No election sio mpango wa Mungu wala haina lengo la kutusambaratisha ila ni mpango wa watu wenye akili timamu wenye lengo la kusambaratisha ufisadi.
Mbona mnarudia aliyoyasema Paskal, jitahidini kumwelewa.
 
Unaona kuna unuhimu wa reform au hakuna? Kama unaona upo basi jikite kushauri na kupambania kuhakikisha reform zinapatikana ili tupate viongozi watokanao na wananchi kwa kutumia nafasi yako kama mwandishi nguli kuhamasisha nakushauri watawala wafanye reforms kwa maslahi mapana ya nchi na kama unaona hazina msingi wowote pia jielekeze kwenye hoja zakuonesha kua hakuna msingi wa reforms nakuendelea kusifia watawala waendelee na kazi kwakua wanafanya mema katika nchi sio kua kati kati haisaidii nchi mabadiliko wanayodai CDM sio wao washike dola kutokana na reform ila yeyote atakaeshinda kwa uhalali atuongoze kiroho safi na sote tukajenge nchi bila malalamiko spinning ya agenda haosaidii lolote tulitegemea utuandikie pia wanaokataa reforms ni Mpango wa Mungu au Shetani na anayetuonhoza ni wakala wa Mungu au Shetani?
 
Ametoa elimu nzuri mwenye akili ameelewa, Paskal Mayalla hajawahi kuwa upande wa shetani na hatokuwa,
 
Na kwenye hitimisho lako kama vyama ni vya umma visikilize watu wao usisahau serikali ndio ni ya Umma kabisa ingesikikiza maoni ya wananchi kupitia tume ya Warioba tungekua tumeshatoka kwenye huu Mkwamo hivyo usijifanye mshauri mkuu wa vyama especially CDM mana hapa ndio target yako kuu jielekeze kushauri bila bias itakusaidia kulinda weledi wako ila maoni yoyote yakishabiki pia tutajiuliza haya maoni sio insane? Huyu mtu haoni kama watawala wanakosea kutokukubali mabadiliko?
 
Paschal anaongea juzi wametoka kuchukua rushwa Songea wamekusanywa na Nchimbi kama nyumbu kwenye bwawa la maji hakuna aliyeuliza hata swali zaidi ya kusifia na kulilia posho, eti mwandishi nchii hii mwandishi ni mmoja tu Chiefu Odemba wengine ni wasaka fursa na wala rushwa tupu
 
Bla blaa...No reform No election ndiyo habari ya TZ kwa sasa, story ndeeefu za shetani na mungu ni kama uasi tu kwa waTZ kwa sasa
 
Lisu ni mpango was Mungu, ila huko Lumumba wote ni maajenti wa shetani. No reform no election ni agenda ya Mungu kuikomboa Tz. Vp aliyesema chadema wanataka kununua virus vya mpox SI inseni?
 
Nape Moses Nnauye aliunga mkono ujenzi wa lile bwawa?
Lissu hataki amani wala maendeleo ya taifa lake..

Hata bwawa la umeme rufiji amelipinga hadharani na anaendelea kuliponda mpaka leo hii

Lissu makinikia alikuwa anawatetea acacia na barrick kama na yeye ni m canada vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…