PreGE2025 Lissu na kauli mbiu ya “No Reforms, No Election” ni mipango ya Mungu au ya Shetani kutusambaratisha?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hivi humu kwenye Jukwaa Hon Wakili Msomi Tundu Antipas Lissu anatumia ID ya Jina lipi tumu tag ili naye amsome Broo Pascal Mayalla?
 
Shetani ndio Huwa anitumia CCM yako kutusambaratisha. Ila TAL aliyeokoka kwenye Muzzle iliyokohoa za moto robo tatu ya magazine ni Mpango wa Mungu.
Kiwango Cha unafki nchi hii ni Kikubwa mnoo.
 
Ulimpa mshono wako akashindwa kukupelekea moto?
 
Charles William vipi?
 
Nadhani wenye mamlaka wakija kukubali kuwa na katiba mpya kama ilivyo kwenye rasimu ya Jaji Warioba mgombea binafsi haliepukiki
 
Wajumbe watu safi sana , kama sio wajumbe mleta mada naye angekua Bungeni ati.

Walio katika mpango wa shetani ni wale ambao hawataki reforms ili haki itamalaki katika chaguzi zetu.

No reforms no election ni kwa ajili ya haki ,Mungu upenda haki so jibu simple ni Mpango wa Mungu, asema Bwana.

Na kwa viburi vya ccm Mungu anaenda kuwashangaza ,asema Bwana , tunza hii
 
Hili litakuwa ni jambo jipya kama kifo cha Rais aliyepo madarakani kilivyotokea kimsingi sioni utekelezaji wake ukitimia
 
Nimesoma makala yote nimegundua na wewe dozi ya No reforms, No election imekuingia vizuri.
Insanity ambayo ni hatari kabisa ni sisi wananchi kushindwa kupigania uchafuzi wote ulioutaja hapo juu.

Haiwezekani tuendelee kuishi kwa shida kisa tunaogopa kupigania haki yetu.

paschal akili zako, tupa kulee.
 
I can't believe what I read from Paschal.

It is unconceivable.
Paschal kwishnei. Debe tupu.

Binafsi sijui Paschal kapatwa na nini.

Angeandika Lucas Mwashambwa wala nisingesikitika coz huyu namjua ni debe tupu kabisaa tena limepigwa na jua
 
Kushiriki kwenye "uchafuzi" huku watu wakiuliwa, kura feki zikijazwa kwenye masanduku ya kura, wagombea kuenguliwa bila sababu za msingi, watumishi wa umma kukiri kusaidia chama fulani kushinda, vyombo vya dola kukiri kusaidia chama fulani kushinda, unaona ni sahihi kwa mwenye akili timamu!!??
Pascal Mayalla
 

Attachments

  • 1743248945589.jpg
    403.4 KB · Views: 18
Kwa haraka haraka hapo nilichoelewa n kwamba mleta mada kaishiwa unga wa ugali…
Labda nikuhakikishie tuu pascal, jfm n jumuia kubwa, kwa wingi wetu hatuwez shindwa kukuchangia kibaba cha Unga ukala na wanao, so kuwa n amani mwanasheria msomi.
Na mboga pia utapata, chumvi si unayo?
 
Hii sijui ni mada yako ya ngapi ndani ya masaa 24.
Kuna kitu kizito nimenusa.
Muda utajibu.
Kuna wengi humu shughuli zao ni nyingine,wanakuja jf kama past time only, lakini mimi kuandika ndio shughuli yangu,jf ni kama nyumbani kwangu,kuna siku nimepandisha mabandiko 6 ndani ya siku moja na yote ya kushiba!。Ingekuwa watu。wanalipwa kwa kupost jf,ningekuwa bilionea!nina posts zaidi ya 54,100,kila post ingelipiwa buku tuu,make 54m!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…