Lissu na Mbowe kama vile Uhuru na Ruto: Je, CCM wanaweza wakaruhusu uchaguzi kama wa Chadema kwa Mwenyekiti?

Lissu na Mbowe kama vile Uhuru na Ruto: Je, CCM wanaweza wakaruhusu uchaguzi kama wa Chadema kwa Mwenyekiti?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Nimependa na kukubali sana hatua ya Lisu kugombea uwenyekiti. Anagombea akija na siasa za akina Dr. Slaaa.

Anaibuka siku moja baada ya kuwa meza moja na mwenyekiti. Natamani kumwona nani atasimama nafasi ya makamu mwenyekiti

Mchuano huu unakwenda kufukua mjadala. Namwona Odemba ameanza mazungumzo yakuomba mdahalo wa wAgombea. Natamani aanze na wagombea wa makamu mwenyekiti then akutane na wenyeviti.

Naamini uchaguzi huu unakwenda kufufua fikra mpya. Wagombea wenye capacity ndani ya CCM wangetamani wapate fursa yakuwa sehemu ya mchakato huru kama anasimamia Mnyika ndani ya chama.

Ni muda sasa waushika madaraka wa qualities siyo uchawa. Nasubiri Tambo za Mbowe.
 
Back
Top Bottom