Lissu na Mbowe waking'atuka, CHADEMA itaimarika sana na kuwa chama cha upinzani chenye ushawishi na nguvu sana Tanzania

Nchi ngum sana hii , leo ndo umekua mshauri wa Chadema , kikifa si ndo nafuu ya ccm hapa shida ipo wapi?
actually,
ni kiri tu kwamba ni kweli nimekua mshauri wa chadema kwa kipindi kirefu sana, lakini ieleweke wazi ni kipindi kilichopita ...

hata hivyo,
hiyo hainiondolei haki na wajibu wangu kama mtanzania, manasiasa na mwanadiplomasia mbobevu kutoa maoni au mtazamo wangu juu ya mambo ya kisiasa nionavyo yanavyokwenda chadema na katika vyama vinginevyo vya kisiasa,

Je, kuna tatizo lolote hapo muungwana πŸ’
 
Ona hili tahira sasa la ccm
Iko hivi ccm na maviongoz yake yote yaking'oka hapo ndipo taifa hili litapga hatua kimaendeleo matatzo ya taifa hili si chadema wala si lissu wala mbowe
Ajabu ww mwanaccm unakomaa na chadema tu vyama vngne havipo si vpo na havina hao akina lissu na mbowe vpo wapi sasa.
Kwani kugawanyika kwa chadema na kukosa nguvu si ndo vzr kwenu ccm au. Hapa unataka mdanganya nani sasa.
 
muerevu punguza mihemko na makasiriko bas, si ungekomaa kwenye hoja tu jinsi uonavyo mambo yalivyo?πŸ’

au nimekukonfuse sana?🀣
 
Kutokana na uhuru wa mtu kutoa maoni yake humu jukwaani, basi andiko lako limesomeka. Lakini kwa jinsi uhalisia na ukweli wa mambo ulivyo, natambua hata akili yako mwenyewe inakusuta kwa hili andiko lako.

Kidogo ingalileta mantiki kama ungaliweza kuonyesha ni viongozi wapi vijana ambao wapo sasa ndani ya CDM ambao wanaweza kuhimili misukosoko ya kisiasa kama viongozi hawa wawili magwiji na manguli. Usichukulie uongozi ndani ya chama makini cha kisiasa kamq CDM ni sawa na nafasi ya ukiranja katika shule za msingi.
 
akili yangu haiwez kunisuta, nimejipanga kueleza ukweli kinagaubaga bila kujibakiza...

wenje ni miongni mwa vijana jasiri na makini ambao tayari wameonyesha nia ya kupokea kijiti uandamizi chadema...

sitaki kuwasemea wengine, lakini wapo vijana kwa wazee wengi wa kutosha kupokea Uongozi kwa mafahali hawa wawili wanaochichea mpasuko na migawanyiko ndani ya chama...

a unifying factor chadema ni kusimika Uongozi mpya wa juu πŸ’
 
Hata kidogo! CDM msifanye makosa hayo kamwe.
sio makosa,
ni mageuzi muafaka na mabadiliko muhimu sana kwa mustakabali na ustawi wa umoja na demokrasia ndani ya chama chao πŸ’
 
Ccm. CHAIN YA FAMILIA IKING'ATUKA TUUU

CCM INAKUWA CHAMA BORAA.

NA CHADEMA MBOYE NA LISSU WAKIENDELEA KUWEPO

CCM WATAENDELEA KUPUMULIA MASHINE

NDIO MAANA WAKATI WOTE WANAPANDIKIZA MAMMLUKI NDANI YA CHADEMA.

HAWAONDOKI HATA SIKU MOJA

NCHII HII INAWAHITAJII Mboye na lisuu

Kuliko mtu yeyotee
Ni bora mh Mboye awepo kuliko Kamati kuu ya CCM na UVCCM NA UWT na hayo makundi yotee

Mimi ni kada mtiifu sana ndani ya CCM

SEMA MWELEKEO WAKE Unanipa mashaka
Secretariat ya CCM mkoa wa Morogoro

Wameshindwa kujaza uwanja hadi kuzui wanafuzi kuendelea na masomo kwelii.
Seriously
 
chama makini na imara hakiwezi kulalamika kuingiliwa na mamluki ispokua chama dhaifu, hiyo lazima uelewe....

CCM is a living political party,
misingi yake inajengwa kwenye mioyo ya watu kuanzia kwa chipukizi watoto wa chekechea, shule za msingi, sekondari na vyuo vya elimu ya juu achilia mbali watu wazima ambao mioyo yao ni kijani kindakindaki, lakini asie jua wala kufahamu falsafa na mambo haya atashangaa tu πŸ’

anyway,
hiyo sio issue na itaendelea kufanywa hivyo na CCM ili ushindi wa kishindo kutoka kwa kila rika linaloingia umri wa miaka 18 uwe ni wa uhakika na wa kuaminika...

ni muhimu kuonana na uongozi wa eneo husika ikiwa kuna dosari au kasoro za ndani ya chama, then muamue namna ya kuzitatua,

CCM ina utaratibu wa kistaarabu sana wa kutatua changamoto za ndani. vaa ujasiri ondoa woga onana na wahusika, msort izo issue na muendelee kufanya kazi pamoja kwa kuaminiana πŸ’
 
Adui akikushauri jambo analoona ni jema kwako ujue huo ni UBAYA UBWELA.
 
Outsider wanajua Sana Mambo ya ndani ya chadema! Kwanini mi ccm inaumia Sana Mbowe na lisu kuendelea kuongoza chadema?
Jibu hao ndio tishio kwa mi ccm, hawanunuliki, hawaingeki, mi ccm bila polisi na bunduki, ni walaiiiini kama mrenda, yaani ukigusa tu imoooooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…