Lissu na Umuhimu Asiokuwa nao

Lissu na Umuhimu Asiokuwa nao

Joseph Ludovick

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
364
Reaction score
468
Kauli mbiu ya Chadema ya "No Reform, No Election" imetolewa tena kwenye mkutano na wahariri. Hata hivyo, msimamo huu si wa kisheria, wala hauna mantiki ya kidemokrasia. Katika mazingira ya sasa ambapo vyama zaidi ya 18 vimeshajitokeza kushiriki uchaguzi, ni dhahiri kuwa juhudi za Chadema ni njama ya kisiasa ya kukwepa ushindani katika sanduku la kura.

Tundu Lissu, ameendelea kuwa kinara wa propaganda zinazolenga kuvuruga utulivu wa kisiasa kwa kudai kuwa bila marekebisho ya sheria, hakuna uchaguzi utakaofanyika. Kauli hii, mbali na kuwa isiyo na mashiko kisheria, inalenga kuifanya Tanzania ionekane kama nchi isiyo na demokrasia, jambo ambalo si kweli. Katiba ya Tanzania na sheria zake zipo wazi kuwa uchaguzi unapaswa kufanyika kwa mujibu wa ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), na hakuna chama chochote chenye mamlaka wala uwezo wa kuzuia mchakato huu kwa visingizio vya kisiasa.

Katika mfumo wa kisheria Tanzania, hakuna kifungu chochote kinachowapa Chadema mamlaka ya kusimamisha uchaguzi. Sheria ya Taifa ya Uchaguzi (The National Elections Act) inabainisha kuwa uchaguzi ni haki ya wananchi na utafanyika hata kama chama fulani hakitashiriki. Katika hali kama hii, msimamo wa Chadema si tu kuwa hauna nguvu ya kisheria, bali pia unakiuka haki za vyama vingine na wagombea waliokubali kushiriki mchakato wa uchaguzi na kama alivyouita kwa usahihi Pascal Mayalla ni Utopia

Tayari tumeona vyombo vya dola vikionya kuwa hakuna kitakachositisha uchaguzi kwa shinikizo la chama kimoja. Hili linapaswa kuwa funzo na Onyo kwa Lissu anayedhani anaweza kutumia vitisho au kauli za kichochezi kuzua taharuki ndani ya jamii. Haki ya uchaguzi haipaswi kuwa mateka wa matakwa ya Chadema, bali ni suala la kitaifa linalohusu mustakabali wa nchi.

Kutokushiriki uchaguzi kwa CHADEMA ni kosa kubwa la kisiasa. Kwa kufanya hivyo, wanapoteza nafasi ya kushindana na vyama vingine katika mchakato wa kidemokrasia na watakosa mbunge hata mmoja. Badala ya kutumia muda wao kuhamasisha wananchi kushiriki uchaguzi, wanazidi kueneza uoga na kuwataka wananchi wasusie haki yao ya msingi.

Zaidi ya hayo, msimamo huu wa Chadema unaleta mgongano na vyombo vya dola. Jeshi la Polisi, NEC, na taasisi nyingine za serikali zipo tayari kuhakikisha kuwa uchaguzi unafanyika kwa mujibu wa sheria. Kauli za kichochezi za Lissu na wenzake zinaweza kupelekea Chadema kujikuta wakiingia kwenye mgogoro wa kisheria kwa kuhujumu mchakato wa kidemokrasia wa taifa.

Katibu mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Ally Hapi, akiwa ziarani Kiteto Manyara hivi karibuni ameweka wazi kuwa kauli ya "No Reform, No Election" si chochote zaidi ya njama ya Chadema ya kukwepa kushiriki uchaguzi kwa kuhofia kushindwa. Kwa mujibu wa Hapi, Chadema wanajua wazi kuwa hawana uungwaji mkono wa kutosha, na kwa kuhofia aibu ya kushindwa, wanatafuta njia ya kuhalalisha kutoshiriki kwao kwa madai ya kasoro za kisheria ambazo hazipo.

Hii si mara ya kwanza kwa Chadema kutumia mbinu za namna hii. Katika chaguzi zilizopita, walikwepa kushiriki baadhi ya mchakato wa uchaguzi na baadaye wakajitokeza kulalamika kuwa wameonewa. Huu ni mkakati wa kisiasa unaotegemea propaganda badala ya hoja na mikakati halali ya kisiasa.
Ni wazi kuwa Lissu anatumia hoja ya "No Reform, No Election" kama jukwaa la kujipa umuhimu. Baada ya kukaa nje ya nchi kwa muda mrefu, anarudi na mbinu zile zile za kupinga kila kitu bila kuja na suluhisho mbadala.

Badala ya kujibu hoja za msingi zinazohusu maendeleo ya nchi, Lissu anatumia muda mwingi kuishambulia serikali na taasisi zake, huku akiwadanganya wafuasi wake kuwa njia pekee ya kupata mageuzi ni kuzuia uchaguzi. Ukweli ni kwamba mageuzi hupatikana kwa kushiriki mchakato wa kidemokrasia, si kwa kuukimbia. Maswali muhimu ikiwa ana data za uungwaji mkono wa madai yake na ikiwa atajiuzuru iwapo wana CHADEMA hawatajitokeza kuzuia uchaguzi amekwepa kuyajibu na akashambukia na kutweza wahariri na vyombo vya habari. Maana yake Lissu anayedai serikali iwajibike kila siku yeye mwenyewe hayuko tayari kuwajibika.

Badala ya viongozi wa CCM kupoteza muda kujibizana na Lissu, wanapaswa kuendelea na mipango yao ya maendeleo na maandalizi ya uchaguzi. Chadema wakiamua kususia uchaguzi, hilo ni suala lao, (wakisusa twala). Lakini Tanzania haiwezi kusimama kwa sababu ya chama kimoja.

Wananchi wanahitaji kuona viongozi wanaojali maendeleo yao badala ya wanasiasa wanaoshinda wakilalamika bila suluhisho. Serikali inapaswa kuendelea na mchakato wa uchaguzi kwa kuzingatia sheria, huku ikihakikisha kuwa kila raia ana fursa ya kushiriki bila shinikizo la vyama vya siasa vinavyotafuta visingizio vya kutoshiriki.

Hoja ya "No Reform, No Election" ni njama ya kisiasa isiyo na msingi wa kisheria wala mantiki ya kidemokrasia. Chadema hawana mamlaka ya kuzuia uchaguzi, na juhudi zao za kuleta taharuki ndani ya jamii zinapaswa kupingwa kwa nguvu zote. Serikali, NEC, na vyombo vya dola vina wajibu wa kuhakikisha kuwa uchaguzi unafanyika kama ilivyopangwa, bila kujali upinzani wa kundi dogo la wanasiasa wanaojaribu kujipatia umuhimu wa kisiasa kwa njia za mkato.
 
Katika mfumo wa kisheria Tanzania, hakuna kifungu chochote kinachowapa Chadema mamlaka ya kusimamisha uchaguzi. Sheria ya Taifa ya Uchaguzi (The National Elections Act) inabainisha kuwa uchaguzi ni haki ya wananchi na utafanyika hata kama chama fulani hakitashiriki. Katika hali kama hii, msimamo wa Chadema si tu kuwa hauna nguvu ya kisheria, bali pia unakiuka haki za vyama vingine na wagombea waliokubali kushiriki mchakato wa uchaguzi na kama alivyouita kwa usahihi paschal Mayalla, ni Utopia

Tayari tumeona vyombo vya dola vikionya kuwa hakuna kitakachositisha uchaguzi kwa shinikizo la chama kimoja. Hili linapaswa kuwa funzo na Onyo kwa Lissu anayedhani anaweza kutumia vitisho au kauli za kichochezi kuzua taharuki ndani ya jamii. Haki ya uchaguzi haipaswi kuwa mateka wa matakwa ya Chadema, bali ni suala la kitaifa linalohusu mustakabali wa nchi.

Kutokushiriki uchaguzi kwa CHADEMA ni kosa kubwa la kisiasa. Kwa kufanya hivyo, wanapoteza nafasi ya kushindana na vyama vingine katika mchakato wa kidemokrasia na watakosa mbunge hata mmoja. Badala ya kutumia muda wao kuhamasisha wananchi kushiriki uchaguzi, wanazidi kueneza uoga na kuwataka wananchi wasusie haki yao ya msingi.

Zaidi ya hayo, msimamo huu wa Chadema unaleta mgongano na vyombo vya dola. Jeshi la Polisi, NEC, na taasisi nyingine za serikali zipo tayari kuhakikisha kuwa uchaguzi unafanyika kwa mujibu wa sheria. Kauli za kichochezi za Lissu na wenzake zinaweza kupelekea Chadema kujikuta wakiingia kwenye mgogoro wa kisheria kwa kuhujumu mchakato wa kidemokrasia wa taifa.

Katibu mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Ally Hapi, akiwa ziarani Kiteto Manyara hivi karibuni ameweka wazi kuwa kauli ya "No Reform, No Election" si chochote zaidi ya njama ya Chadema ya kukwepa kushiriki uchaguzi kwa kuhofia kushindwa. Kwa mujibu wa Hapi, Chadema wanajua wazi kuwa hawana uungwaji mkono wa kutosha, na kwa kuhofia aibu ya kushindwa, wanatafuta njia ya kuhalalisha kutoshiriki kwao kwa madai ya kasoro za kisheria ambazo hazipo.

Hii si mara ya kwanza kwa Chadema kutumia mbinu za namna hii. Katika chaguzi zilizopita, walikwepa kushiriki baadhi ya mchakato wa uchaguzi na baadaye wakajitokeza kulalamika kuwa wameonewa. Huu ni mkakati wa kisiasa unaotegemea propaganda badala ya hoja na mikakati halali ya kisiasa.
Ni wazi kuwa Lissu anatumia hoja ya "No Reform, No Election" kama jukwaa la kujipa umuhimu. Baada ya kukaa nje ya nchi kwa muda mrefu, anarudi na mbinu zile zile za kupinga kila kitu bila kuja na suluhisho mbadala.

Badala ya kujibu hoja za msingi zinazohusu maendeleo ya nchi, Lissu anatumia muda mwingi kuishambulia serikali na taasisi zake, huku akiwadanganya wafuasi wake kuwa njia pekee ya kupata mageuzi ni kuzuia uchaguzi. Ukweli ni kwamba mageuzi hupatikana kwa kushiriki mchakato wa kidemokrasia, si kwa kuukimbia. Maswali muhimu ikiwa ana data za uungwaji mkono wa madai yake na ikiwa atajiuzuru iwapo wana CHADEMA hawatajitokeza kuzuia uchaguzi amekwepa kuyajibu na akashambukia na kutweza wahariri na vyombo vya habari. Maana yake Lissu anayedai serikali iwajibike kila siku yeye mwenyewe hayuko tayari kuwajibika.

Badala ya viongozi wa CCM kupoteza muda kujibizana na Lissu, wanapaswa kuendelea na mipango yao ya maendeleo na maandalizi ya uchaguzi. Chadema wakiamua kususia uchaguzi, hilo ni suala lao, (wakisusa twala). Lakini Tanzania haiwezi kusimama kwa sababu ya chama kimoja.

Wananchi wanahitaji kuona viongozi wanaojali maendeleo yao badala ya wanasiasa wanaoshinda wakilalamika bila suluhisho. Serikali inapaswa kuendelea na mchakato wa uchaguzi kwa kuzingatia sheria, huku ikihakikisha kuwa kila raia ana fursa ya kushiriki bila shinikizo la vyama vya siasa vinavyotafuta visingizio vya kutoshiriki.

Hoja ya "No Reform, No Election" ni njama ya kisiasa isiyo na msingi wa kisheria wala mantiki ya kidemokrasia. Chadema hawana mamlaka ya kuzuia uchaguzi, na juhudi zao za kuleta taharuki ndani ya jamii zinapaswa kupingwa kwa nguvu zote. Serikali, NEC, na vyombo vya dola vina wajibu wa kuhakikisha kuwa uchaguzi unafanyika kama ilivyopangwa, bila kujali upinzani wa kundi dogo la wanasiasa wanaojaribu kujipatia umuhimu wa kisiasa kwa njia za mkato.
Mbona mna panic sanaa na kauli yake kama haina maana muipuuzie tu, wanafikiri watanzania ni awajinga watakapo itikia huo wito mtanyanganywa mkate mdomoni
 
Yaani ilitakiwa lissu akaliwe kimya apoteze nguvu na muda halafu siku ya uchaguzi ifike aangaliwe atafanya nini ili akahadithie kijijini kwao!
 
Kama Lissu hana umuhimu wowote inakuwaje unaandika uzi mreeeefu kumuelezea mtu asiye na umuhimu wowote?🤣🤣🤣🤣

Kwa urefu wa uzi wako tu na kutumia muda wako kuuandika na kuupost humu inaonyesha kuwa Lissu ni mtu wa muhimu kweli.

Polee sana! Wasalimie Vilaza wenzako hapo Lumumba.
 
Huyo jamaa hamumuwezi kwa chochote kile ana hoja nzito sn na anawaelimisha raia umuhimu wa kura zao.Siyo tunapiga kura alafu wanatokea kikundi cha watu na kuleta janjajanja kwenye sanduku la kura.
 
UMEANIKA TAKATAKA TUPU! IMESOMA MISTARI MIWILI INATOSHA .....TAKATAKA TUPU
 
Mbona mna panic sanaa na kauli yake kama haina maana muipuuzie tu, wanafikiri watanzania ni awajinga watakapo itikia huo wito mtanyanganywa mkate mdomoni
Kwani INEC (Tume Huru ya Uchaguzi) na Serikali kwa ujumla washajibu chochote kuhusu uropokaji wa Lissu?
 
Machawa kama wewe tunawakumbusha hoja za Lissu ni genuine kuhusu uchaguzi , kama huwezi kukemea gross electoral malpractices kama hizi wakati wa amani basi utazikemea wakati amani ikiwa haipo na watu wakipeana lawama.

Uchaguzi usio wa haki ndio huweza kuitumbukiza nchi kwenye machafuko rejea 2007 Kenya waliposhindwa kufanya reforms za tume yao ya uchaguzi ndio ilipelekea rais kumanipulate tume ya uchaguzi na kujiapisha usiku ilhali alikuwa kashindwa uchaguzi.

Hiyo mnayoita tume huru kwa sasa imeongezewa neno huru ila kimfumo sio huru na ndio hapo hoja ya Lissu ilipo , kama huwezi kukemea kilichopo kwenye video ambacho ndio matokeo ya kutokuwa na uhuru wa tume basi nikwambie machafuko hayatokei kwa kuzuia uchaguzi bali ushenzi utakanao na tume kutokuwa huru kama hapo kwenye video.
 
Back
Top Bottom