Lissu namuona majukwaani, wagombea Ubunge wako wapi?

Lissu namuona majukwaani, wagombea Ubunge wako wapi?

Patriot

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Posts
5,705
Reaction score
4,703
Kazi nzuri bw. Lissu, bila kujali maamuzi ya wapiga kura na bila kujali ubora wa sera ambao kwa kweli kila chama kuna udhaifu.

Lakini, wako wapi unaowategemea kushika nafasi za ubunge? Sioni wagombea wa CHADEMA katika harakati zao za kampeni!

Je, hakuna matumaini ya ushindi au ukubwa wa kampeni zako umewafunika wagombea un´bunge?
 
Back
Top Bottom