Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
Dkt Slaa amedai kuwa Rais aliongea na Mbowe na akampa mzigo wa kumsaidia kushinda uenyekiti wa Chadema, watanzania wamesoma habari hizo, wameona, wamesikia na wanaambiana kwenye vijiwe vya kahawa, navyomfahamu Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sio mtu anayependa sana kujibu hoja za taka taka, amekuwa akisingiziwa kwa mengi sana lakini mama wa watu yeye anahangaika na kuboresha maisha ya watu na kuitangaza nchi in the international arena.
Hata wewe Lissu hutamsikia Mhe Rais akikujibu, atakayekuwa anakujibu wewe ni mbabe wa vita Steven Wassira injini ya bodi, Mhe Rais ana mambo mengi ya kufanya katika nchi hii, we kakae fungate siku 5 iwe mwezi au mwaka lakini lazima uwatimizie Wana Chadema wako ile ahadi kuwa no reform no election, huku mwamba Wassira kashakwambia huko umepotea.
Mshaurini Dkt Slaa awe na kauli nzuri dhidi ya serikali, hakuna serikali inayokataa kukosolewa, lakini ukosoaji lazima uwe constructive, huwezi kumsingizia kiongozi wa nchi kwa mambo yenu wenyewe ndani ya Chadema ili TU mpate wafusasi wa kuwaunga mkono.
Tuliambiwa na Mzee Nyerere Baba wa Taifa kuwa ukiona kiongozi anatafuta influence kwa wananchi kwa kutumia ukabila, urangi, ubaguzi, uongo, kufitinisha watu kama alivyofanya Lissu hadi akamshinda Mbowe, kulaghai watu basi kiongozi hafai.
Kila mtu anajua Lissu ameshindwa uchaguzi kwa sababu za kufitinisha, kugombanisha watu, kupakazia watu maneno ya uongo, hapo hapo Slaa naye akajifanya kudai kuwa Mhe Rais anaongea na Mbowe Kila siku na amempa mzigo wa kushinda uchaguzi, maneno ambayo ni Mahakama TU ndio itaamua.
Kwa hiyo katika hili tuiachie Mahakama, wenyewe mnasemaga the court will prove beyond any reasonable doubt kama ana hatia ama la.
Ukisema huwezi kumshtakiwa Dkt Slaa kwa sababu sio tishio kwa serikali kwani wewe Lissu una utishio Gani kwa serikali wewe?
Hadi mama yetu amekuruhusu kurudi nchini uendelee na maisha Yako na Siasa zako za majitaka maana yake serikali ya CCM inakuona wewe wa kawaida sana.
Walikuwepo akina Mrema, Mtikila, Kassanga Tumbo, Abdulrahman Babu, Mabere Marando, Prince Bagenda, Dkt Lamwai, Ringo Tenga nk, where are they now? Wewe Lissu na Maalim Self nani ameisumbua serikali, wewe hata robo hujafikia.
Pia soma