Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Kwa faida ya wasio-fahamu, Antipas Lissu ni Mwamini mtiifu wa Kanisa Takatifu la Mitume yaani Kanisa Katoliki la Roma.
Vilevile, kwa maokozi mengi aliyookolewa na MWENYEZI Mungu hakika Tundu ni wazi ni Mpango wa MWENYEZI Mungu mwenyewe.
Na ndiyo maana hata Mbowe aliitisha suluhu baina Yao kwa kutumia Viongozi wa Kanisa Takatifu la Mitume.
KWA NAMNA YA KIPEKEE KABISA, LISSU PAMOJA NA UAMINI WAKE WA UTII KWA KANISA, BADO HUKEMEA YALE YOTE YALETAYO MASUMBUFU KWA WANANCHI YAKALIWAYO KIMYA NA KANISA. HAKIKA LISSU NI KIONGOZI WA WOTE.
NB: Sitawaambia kila kitu.