Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Sisi hatutumie Dini yake kama kigezo cha kumpenda, ila hoja zake hata alio mpiga lisasi 16 alikua mkatoliki mwenzie, mama samia ambaye ni Muislamu akaenda hospitali Nairobi kumjulia hali, Mkatoliki kaenda kanisani Chato kuudhuria Misa ya mama Maria......Kwa faida ya wasio-fahamu, Antipas Lissu ni Mwamini mtiifu wa Kanisa Takatifu la Mitume yaani Kanisa Katoliki la Roma.
NB: Sitawaambia kila kitu.
umenena pointSisi hatutumie Dini yake kama kigezo cha kumpenda, ila hoja zake hata alio mpiga lisasi 16 alikua mkatoliki mwenzie, mama samia ambaye ni Muislamu akaenda hospitali Nairobi kumjulia hali, Mkatoliki kaenda kanisani Chato kuudhuria Misa ya mama Maria......
sio lazima, wengine bakini ccm, cuf, act, chauma, tlp, nccr maadam ni vyama vya kitaifa kwa watanzania. Ila hatuchagui mtu kwa misingi ya dini na dhehebu lakeKwa maana hiyo unataka kutwambia kuwa Mbowe ni mpango wa shetani?
Kwa hiyo wakatoliki wote tumuunge mkono Lisu?
Nakubali mkuu.Wakatoliki wako karibu na Mungu
Wakristo haswa waroma mna mbwembwe, mlivimba kujifanya ole wake Samia asaini mkataba wa WARAABU WA BANDARI (DP W) serikali ikasaini mkabata na hamna mlichofanya chochote,Kwa faida ya wasio-fahamu, Antipas Lissu ni Mwamini mtiifu wa Kanisa Takatifu la Mitume yaani Kanisa Katoliki la Roma...
Jamaa mna udini sana aisee!Punguza udini.
Nawe zamu yako lini?Jamaa mna udini sana aisee!
Na akitoka Samia anaingia Ridhiwani
Huyo Mungu wala sina haja naye.Kwa faida ya wasio-fahamu, Antipas Lissu ni Mwamini mtiifu wa Kanisa Takatifu la Mitume yaani Kanisa Katoliki la Roma.
Vilevile, kwa maokozi mengi aliyookolewa na MWENYEZI Mungu hakika Tundu ni wazi ni Mpango wa MWENYEZI Mungu mwenyewe.
Na ndiyo maana hata Mbowe aliitisha suluhu baina Yao kwa kutumia Viongozi wa Kanisa Takatifu la Mitume.
KWA NAMNA YA KIPEKEE KABISA, LISSU PAMOJA NA UAMINI WAKE WA UTII KWA KANISA, BADO HUKEMEA YALE YOTE YALETAYO MASUMBUFU KWA WANANCHI YAKALIWAYO KIMYA NA KANISA. HAKIKA LISSU NI KIONGOZI WA WOTE.
NB: Sitawaambia kila kitu.
Chagua wewe unataka iwe lini zamu yangu kunipa?!Nawe zamu yako lini?