Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Lissu amesema ikitokea ameshindwa nafasi ya uenyekiti CHADEMA hapo Januari, atabaki kuwa mwanachama wa kawaida CHADEMA, hatoenda kokote, watabanana humo humo.
Pia soma: Pre GE2025 - Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA, asema taifa linamhitaji Lissu kwa sasa
Lissu amejibu swali hilo kwenye session ya Clubhouse leo usiku mwingi December 24, 2024 alipoulizwa kama atatimkia kwenye chama kingine au ataenda kulima nyanya ikitokea atashindwa nafasi ya Uenyekiti, ambapo mbivu na mbichi zitajulikana Januari.