Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ahahahahaha! Hata kwa Msigwa mlisema hivyo hivyo!Msigwa yeye mbona kahama chama? Lissu anajielewa hawezi kwenda ccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahaha! Hata kwa Msigwa mlisema hivyo hivyo!Msigwa yeye mbona kahama chama? Lissu anajielewa hawezi kwenda ccm.
Usimlinganishe muuza mitumba Msigwa na Wakili msomi Lissu.Anapita mulemule kwa Mch. Msigwa!!
Na Ndivyo Ilivyo Hakuna Kitokeacho Kwa Bahati Mbaya Bali Ni Mipango,,Hao Nyuma Ya Pazia Wanagonga glasi Za Mvinyo Kwa Pesa za Ruzuku,,mbele Ya Kamera Wanawapigisha Tizi WanyongeYawezekana pia hao jamaa wanaelewana na wamepanga watuzuge kwamba eti hawaelewani !
Kila kitu kinawezekana chini ya jua !
Kabisa kabisa !Na Ndivyo Ilivyo Hakuna Kitokeacho Kwa Bahati Mbaya Bali Ni Mipango,,Hao Nyuma Ya Pazia Wanagonga glasi Za Mvinyo Kwa Pesa za Ruzuku,,mbele Ya Kamera Wanawapigisha Tizi Wanyonge
Sijibugi hoja za kijinga!Usimlinganishe muuza mitumba Msigwa na Wakili msomi Lissu.
Kwa vile ume graduate kutoka kwenye ujinga kwenda kwenye upumbavu.Sijibugi hoja za kijinga!
Nenda tu CCM baba tuneshakuelewa! Kile kikao chenu cha Belgium hakikuwa bure!Wakuu,
Lissu amesema ikitokea ameshindwa nafasi ya uenyekiti CHADEMA hapo Januari, atabaki kuwa mwanachama wa kawaida CHADEMA, hatoenda kokote, watabanana humo humo.
Lissu amejibu swali hilo kwenye session ya Clubhouse leo usiku mwingi December 24, 2024 alipoulizwa kama atatimkia kwenye chama kingine au ataenda kulima nyanya ikitokea atashindwa nafasi ya Uenyekiti, ambapo mbivu na mbichi zitajulikana Januari.
matokeo ya kura yatabainisha zuga yaoYawezekana pia hao jamaa wanaelewana na wamepanga watuzuge kwamba eti hawaelewani !
Kila kitu kinawezekana chini ya jua !
Kabisa !matokeo ya kura yatabainisha zuga yao
Hilo nalo Neno 👏Vipi hii ishu ya mbowe na lisu ikiwa ni SCRIPT then wote wawili wana manufaa makubwa na CDM kujifia. Watu wa vitengo wanakuwaga na strategy ambazo hakuna anayeweza kuzing'amua