Kazi kubwa sana ipo kaziniiiWakuu,
Lissu amesema ikitokea ameshindwa nafasi ya uenyekiti CHADEMA hapo Januari, atabaki kuwa mwanachama wa kawaida CHADEMA, hatoenda kokote, watabanana humo humo.
Lissu amejibu swali hilo kwenye session ya Clubhouse leo usiku mwingi December 24, 2024 alipoulizwa kama atatimkia kwenye chama kingine au ataenda kulima nyanya ikitokea atashindwa nafasi ya Uenyekiti, ambapo mbivu na mbichi zitajulikana Januari.
Anajua kuwa Mbowe atamshinda tuπWakuu,

Huyu jamaa ni next level, pia na roho ngumuWakuu,
Lissu amesema ikitokea ameshindwa nafasi ya uenyekiti CHADEMA hapo Januari, atabaki kuwa mwanachama wa kawaida CHADEMA, hatoenda kokote, watabanana humo humo.
Lissu amejibu swali hilo kwenye session ya Clubhouse leo usiku mwingi December 24, 2024 alipoulizwa kama atatimkia kwenye chama kingine au ataenda kulima nyanya ikitokea atashindwa nafasi ya Uenyekiti, ambapo mbivu na mbichi zitajulikana Januari.
Lissu ni muadilifu Sana, Hana tamaa ya cheo kama mbowe Wanachadema wampiganieWakuu,
Lissu amesema ikitokea ameshindwa nafasi ya uenyekiti CHADEMA hapo Januari, atabaki kuwa mwanachama wa kawaida CHADEMA, hatoenda kokote, watabanana humo humo.
Lissu amejibu swali hilo kwenye session ya Clubhouse leo usiku mwingi December 24, 2024 alipoulizwa kama atatimkia kwenye chama kingine au ataenda kulima nyanya ikitokea atashindwa nafasi ya Uenyekiti, ambapo mbivu na mbichi zitajulikana Januari.
Anapita mulemule kwa Mch. Msigwa!!Wakuu,

Kwahiyo mtabaki na huyu mnΓ emwita kirusi na msaliti? Mmawia ?Huu ndio ukomavu wa kisiasa. Na spana zinaendelea kama kawaida
Safi sana ππππWakuu,
Lissu amesema ikitokea ameshindwa nafasi ya uenyekiti CHADEMA hapo Januari, atabaki kuwa mwanachama wa kawaida CHADEMA, hatoenda kokote, watabanana humo humo.
Lissu amejibu swali hilo kwenye session ya Clubhouse leo usiku mwingi December 24, 2024 alipoulizwa kama atatimkia kwenye chama kingine au ataenda kulima nyanya ikitokea atashindwa nafasi ya Uenyekiti, ambapo mbivu na mbichi zitajulikana Januari.
Tutabanana humo humo hakuna haja ya kumuogopa mtu !Safi sana ππππ
Kabisa !Mtu akihama chadema alafu ni top kiongozi namuona shwain tu
Msigwa yeye mbona kahama chama? Lissu anajielewa hawezi kwenda ccm.Anapita mulemule kwa Mch. Msigwa!!
Yawezekana pia hao jamaa wanaelewana na wamepanga watuzuge kwamba eti hawaelewani !Anajua kuwa Mbowe atamshinda tuπ
ALihama Lowasa waziri mkuu kutoka fisiemu sembuse kuhama Chadema chama cha watu wa Kaskazini ?Mtu akihama chadema alafu ni top kiongozi namuona shwain tu
Shauri yaoπYawezekana pia hao jamaa wanaelewana na wamepanga watuzuge kwamba eti hawaelewani !
Kila kitu kinawezekana chini ya jua !