Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Tangu lini CCM mkampenda Lissu??? Huo ushauri wako kaa nao!!Msaidieni ndugu yenu asije sema anaonewa badae kwa vitu vidogo sana.
Mtu anaweza kukudhulumu 10,000 wewe kwa hasira ukamkata shingo akafa, utakua umetenda kosa la mauaji,10,000 ilikua n haki yako kabisa ila ungeweza tumia busara kudai hela yako uliyodhulumiwa kuliko hasira ambazo zinaenda ku cost maisha yako yote yaliyo salia duniani. Lissu anaweza kuwa na haki lakini msipo msaidia njia sahihi ya kudai haki mnaenda kumsababishia matatizo yatayomcost maisha yake yote.
Umeona ujumbe wenu kutoka kamati ya wizara ya mambo ya nje ya Bunge la Marekani????
Subirini kifuatacho sasa!!! Dadeki