Uchaguzi 2020 Lissu sema na wafuasi wako, hali ni mbaya sana

Mwanaharakati mkubwa wa kiislamu Sheikh Issa Ponda baada ya kutoa waraka wa maimamu......
Kifuatacho anaendesha BMW mpya na amewatelekeza kabisa waliopo jela
Hivi Sasa ni Mwanaharakati wa JPM
Ati nini?
 
KAHUBIRI BOMBADIA, SGR, STIGLER , WATUMISHI HEWA MA VITUO VYA AFYA HAYA M3NHI E YA LISU UNAPOTEZA KUDA
 
Vitu vyote anavyosema Lissu hakuna Cha uongo. Watanzania walikuwa wanavijua, tatizo ilikuwa ni courage tuu. Wamempata anayesema hadharani hakika hata asingekuwa Lissu bado wangemfuata.

Nani hajui kwamba uchumi uko Vibaya? Nani hajui ajira hakuna? Nani hajui kwamba hospital dawa hakuna? Nani haoni polisi wanayofanya? Kwa Mambo Kama haya, hata Lissu akichanganya na ya uongo bado ataaminika maana yote aliyosema hakuna lililokanushwa kwa sababu nikweli.
 
Salum Mwalimu anaipukutisha CCM huko kusini. Sijui atapoingia mwenyewe mwamba itakuwaje.

Meko mpaka ateme damu msimu huu wa uchaguzi.
HA

haaaa yaani mnajipaga matumaini ya kijinga sijawahi ona hivi kabsa hao wehu MNATEGEMEA WAONGOZE NCHI WAKATI HATA FAMILIA ZAO TU ZINAWASHINDA
 
Na siku zote mfa maji haiesh kutapatapa. Kuchukua point zako kwenye mitandao ya kijamii ndio matokeo yake.unakurupuka mbio mbio ooh rais kaita wakrugenz dodoma.ushahid hana.
mim huwa hata simwelewag
 
Salum Mwalimu anaipukutisha CCM huko kusini. Sijui atapoingia mwenyewe mwamba itakuwaje.

Meko mpaka ateme damu msimu huu wa uchaguzi.
kusin hio wap?
Cuf yenyewe inapumulia mashine.
kuanzia wap kwa mfano
 
Na huyu alieleta hii mada hapa anawaza ki-house girl tu.
 
Wewe una utindio wa ubongo kiasi kwamba hukuelewa alichosema Lissu?Wapi Lissu alisema kuwa akishindwa kutachimbika?Alichosema Lissu na Mboye ni kwamba patachimbika kama kutachizwa rafu kama zile ambazo zilichezwa katika uchaguzi mdogo wa kinondoni ambapo CCM ilifanya ujanja ujanja wa kijinga wa kuwazuia mawakala wa chadema wasiingie katika uchaguzi wapema,kukataa kuapisha mawakala wa chadema,kuwanyima form,etc na alisema kama yote hayo hayatafanyika watakubali matokeo.Ila wewe hapa unandika kinyume na alichosema Lissu!
 
Crap from a poor mind, worth for the fools.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…