Uchaguzi 2020 Lissu sema na wafuasi wako, hali ni mbaya sana

Uchaguzi 2020 Lissu sema na wafuasi wako, hali ni mbaya sana

Wananchi tunasubiri tu hiyo oct28 Lisu azoe kura zote hizo 10% tumwachie meko angalau apate zile za makada wa ccm anaokula nao
Mwambie lissu mbeligiji ajiandae kisaikolojia ,hali ni ngumu sana, hatosadiki atachokutana nacho
 
Mwambie lissu mbeligiji ajiandae kisaikolojia ,hali ni ngumu sana, hatosadiki atachokutana nacho
mwabieni meko mwenyewe aendelea tu na ule mpango wake wa kuchukua kimada kule zenji alipe na mahari kabisa in advance ili amfariji baada ya matokea asije kufa kwa presha mzee wa watu akiona Lisu anachukua nchi
 
Back
Top Bottom