Lissu: Sikuwaambia watu wachome na kuchana kura

Jizi na lipenda rushwa linatoa comments.
 
Mwendelezo wa saa nane uko wapi?
 
..tatizo Polisi walikurupuka kumkamata Tundu Lissu.

..walipaswa wamuache afanye kikao kimoja tu cha mipango ya utekelezaji ya kukinukisha.

..kitendo cha Lissu kuwa jela halafu huku nyuma watu wakafanya yao, na Polisi hawakuwanasa wakati wakipanga, wala wakati wakitekeleza, kimepelekea kesi dhidi ya Lissu kuporomoka.
 
Just for curiosity. Mtu akishika bunduki na kumlenga rais, ni uhai? Kama ni Uhaini, basi uhaini unaweza kufanywa na mtu mmoja. BUT THIS SCENARIO IS NOT IN LISU'S CASE
 
Hii takataka nilitamani isijibiwe na mtu,Ina uwezo mdogo sanaa wa akili
 
10 /08 / 2026
Mahakama Kuu
Kivukoni Front
Dar es Salaam

EPISODE 36 : SHAHIDI ACP MAHAMBA ALIVYOCHUNGUZA LISSU KUFANYA UHAINI, KITAELEWEKA TUU

View: https://m.youtube.com/watch?v=LjkJVaXgd2w
 
Kumbe Wahaini ni:
1. Kikosi cha wasiojulikana - wanaoteka, kutesa na kuua WaTanganyika.
2. Aliyetoa na waliotekeleza amri ya kuua WaTanganyika.
3. Sheikh Mwaipopo na genge lake!

Ushahidi upo wazi!
Wakitaka tufike huko tutafika!
 
Hivi si mlifanya uchaguzi na mkapata ushindi wa kishindo 98%?? Si mlitangazwa washindi mkishinda kila kitu!
Sasa iweje mseme uchaguzi ulizuiliwa??

Alafu mnajua kuwa huko mnakotaka kumpeleka TAL mtachokonolewa hadi mseme Dunia ijue mlipataje pataje ushindi wa 98%?
Hivi mnajua mkifungua hilo Pandora box itabidi mseme ni nani aliagiza watu waandamane na ni nani aliagiza watu wapigwe risasi za moto??

Kwa akili yako huoni utakuwa umebadilisha mwenendo mzima wa kesi iliyopo mahakamani dhidi ya TAL??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…