Lissu: Siogopi kuitwa msaliti

Lissu: Siogopi kuitwa msaliti

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Lissu amefunguka mbele ya wanahabari kuwa haogopi kuitwa msaliti kwa kuwa anatembea na risasi mgongoni hawezi kuogopa maneno ya mitandaoni.

Leo amesema hayo mbele ya Mbowe.

Kumbuka maneno ya kumuita Lissu msaliti yanadaiwa kutolewa na kiongozi mkubwa kwenye chama kwenye CHADEMA majibizano Whatsapp. Niliwai kuweka hapa hizo conversations lakini mods walizifuta. Leo Lissu amejibu mashambulizi ya yule kijana wa Mbowe anaeuza mayai

Kwa nini ameitwa msaliti?

Kumbuka maneno ya kumuita Lissu msaliti yanadaiwa kutolewa na kiongozi mkubwa kwenye chama kwenye majibizano Whatsapp. Niliwai kuweka hapa hizo conversations lakini mods walizifuta. Leo Lissu amejibu mashambulizi ya yule kijana wa Mbowe anaeuza mayai
 
Kwa nini ameitwa msaliti?
20241207_161939.jpg
 
Lissu amefunguka mbele ya wanahabari kuwa haogopi kuitwa msaliti kwa kuwa anatembea na risasi mgongoni hawezi kuogopa maneno ya mitandaoni.

Leo amesema hayo mbele ya Mbowe.

Kumbuka maneno ya kumuita Lissu msaliti yanadaiwa kutolewa na kiongozi mkubwa kwenye chama kwenye majibizano Whatsapp. Niliwai kuweka hapa hizo conversations lakini mods walizifuta. Leo Lissu amejibu mashambulizi ya yule kijana wa Mbowe anaeuza mayai
Weka hiyo video ya lisu usijekuta na wewe ni kiraka tu🤔
 
Ili uitwe msaliti ni lazima uwe umewageuka wenzako kwa makubaliano na viapo vya awali.Sasa Lissu aliwahi kukubaliana kitu gani na CCM na akakiuka hadi aitwe amewasaliti?Nonsense kabisa!
Ameitwa msaliti na chadema wenzio
 
Kakitaka kiti cha dikteta kelele zime anza ..CDM mkitaka nchi muanze nyie kwanza mwenyekiti yupo miaka zaid ya 10
 
Lissu amefunguka mbele ya wanahabari kuwa haogopi kuitwa msaliti kwa kuwa anatembea na risasi mgongoni hawezi kuogopa maneno ya mitandaoni.

Leo amesema hayo mbele ya Mbowe.

Kumbuka maneno ya kumuita Lissu msaliti yanadaiwa kutolewa na kiongozi mkubwa kwenye chama kwenye CHADEMA majibizano Whatsapp. Niliwai kuweka hapa hizo conversations lakini mods walizifuta. Leo Lissu amejibu mashambulizi ya yule kijana wa Mbowe anaeuza mayai

View attachment 3173732
exit gear hiyo ya kimkakati:pedroP:
 
Mbadilishe na Samia sasa au chapisheni fomu zaidi ya moja za kugombea urais ndani ya chama.

Maana hata katiba ya ccm haisemi fomu iwe moja.
Mwenyekiti/Rais chini ya CCM ni mwiko kuhudumu kwa zaidi ya miaka kumi au misimu miwili ya kiutawala madarakani /
# chadema principle zenu zinasemaje?
 
Back
Top Bottom