mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa "Tutaweka ukomo wa Ubunge wa Viti Maalum ili wanawake wengi wanaokipigania Chama wapate fursa na isiwe kikundi cha watu wale wale miaka yote".
Pia soma
- Pre GE2025 - Tundu Lissu: Mimi sina maslahi binafsi kwenye Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA!
Pia soma
- Pre GE2025 - Tundu Lissu: Mimi sina maslahi binafsi kwenye Ubunge wa Viti Maalum CHADEMA!