Pre GE2025 Lissu: Tutazunguka nchi nzima kuwaambia Watanzania wasishiriki chaguzi za kutoana Kafara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Hivi CHADEMA wameanza kuzunguka Nchi Leo? Yaani badala wawekeze kupata viti vya kutosha kwanza Bungeni, wanawekeza michango ya watu kwenye harakati ambazo hazina mashiko kwa wakati huu. Given your current state of affairs "you don't have cards".
 
Sikiliza Chuma kinasemaje.
 
Lissu amesema "Tutatembea nchi nzima kuwaambia Watanzania hamuwezi mkawa mnaenda kupiga Kura kwenye chaguzi za kutoana Kafara, tuungeni mkono kubadilisha taratibu za Uchaguzi"

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi CHADEMA wameanza kuzunguka Nchi Leo? Yaani badala wawekeze kupata viti vya kutosha kwanza Bungeni, wanawekeza michango ya watu kwenye harakati ambazo hazina mashiko kwa wakati huu. Given your current state of affairs "you don't have cards".
Hoja zao zina mashiko Sana, ingawaje timing ndio mbaya.
 
Ni sawa lakini,kwa nini tuwe na uchaguzi wa maigizo kila miaka mitano?
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=FJ3N_2r6R-o&pp=ygUSaGl0bGVyIHNwZWVjaCAxOTM1

View: https://m.youtube.com/watch?v=PYrnIQSVaGE&pp=ygUUanVsaXVzIG1hbGVtYSBzcGVlY2g%3D

Tazama hawa demagogue politicians wanavyoongea kwa kufoka (katika harakati za kucheza na hisia). Halafu msikilize na Lissu (tofauti ni mbingu na ardhi).

Sio kazi rahisi kuwaingiza watu barabarani, na kwenyewe kuna mbinu za kuwasalisha hotuba ili watu wapate hisia.

Kwa Tanzania mtu mwenye uwezo wa kuingiza watu barabarani wakinukishe labda Gwaji-Boy ndio anajua kucheza na hisia.
 
Dr Slaa ana uwezo huo pia.. Jqpo Marehemu mchungqji Christopher Mtikila ndio alikuwa koboko yao kwa uwezo wake wa kuingiza watu barabarani..
 
Hivi CHADEMA wameanza kuzunguka Nchi Leo? Yaani badala wawekeze kupata viti vya kutosha kwanza Bungeni, wanawekeza michango ya watu kwenye harakati ambazo hazina mashiko kwa wakati huu. Given your current state of affairs "you don't have cards".

Wapiganie kuupata ubunge kwa njia gani? Yaani waendelee kupoteza muda na kuchezewa akili na mijitu mijinga kabisa, mishetani inayoitwa wakurugenzi? Wapoteze muda wa kujiandaa na uchaguzi halafu wakaenguliwe na shetani linaloitwa mkurugenzi msimamizi wa uchaguzi kwa madai ya kipu.mbavu kabisa kuwa wameshindwa kujaza fomu?
 
Back
Top Bottom