Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Sikiliza Chuma kinasemaje.Hivi CHADEMA wameanza kuzunguka Nchi Leo? Yaani badala wawekeze kupata viti vya kutosha kwanza Bungeni, wanawekeza michango ya watu kwenye harakati ambazo hazina mashiko kwa wakati huu. Given your current state of affairs "you don't have cards".
Lissu amesema "Tutatembea nchi nzima kuwaambia Watanzania hamuwezi mkawa mnaenda kupiga Kura kwenye chaguzi za kutoana Kafara, tuungeni mkono kubadilisha taratibu za Uchaguzi"
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hoja zao zina mashiko Sana, ingawaje timing ndio mbaya.Hivi CHADEMA wameanza kuzunguka Nchi Leo? Yaani badala wawekeze kupata viti vya kutosha kwanza Bungeni, wanawekeza michango ya watu kwenye harakati ambazo hazina mashiko kwa wakati huu. Given your current state of affairs "you don't have cards".
Dr Slaa ana uwezo huo pia.. Jqpo Marehemu mchungqji Christopher Mtikila ndio alikuwa koboko yao kwa uwezo wake wa kuingiza watu barabarani..
View: https://m.youtube.com/watch?v=FJ3N_2r6R-o&pp=ygUSaGl0bGVyIHNwZWVjaCAxOTM1
View: https://m.youtube.com/watch?v=PYrnIQSVaGE&pp=ygUUanVsaXVzIG1hbGVtYSBzcGVlY2g%3D
Tazama hawa demagogue politicians wanavyoongea kwa kufoka (katika harakati za kucheza na hisia). Halafu msikilize na Lissu (tofauti ni mbingu na ardhi).
Sio kazi rahisi kuwaingiza watu barabarani, na kwenyewe kuna mbinu za kuwasalisha hotuba ili watu wapate hisia.
Kwa Tanzania mtu mwenye uwezo wa kuingiza watu barabarani wakinukishe labda Gwaji-Boy ndio anajua kucheza na hisia.
Hivi CHADEMA wameanza kuzunguka Nchi Leo? Yaani badala wawekeze kupata viti vya kutosha kwanza Bungeni, wanawekeza michango ya watu kwenye harakati ambazo hazina mashiko kwa wakati huu. Given your current state of affairs "you don't have cards".