Lissu ulisema tutashitakiwa MIGA

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,970
Habari.

Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.

Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!

Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!

Je kama tungesikiliza ushauri wa LISSU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3?
 
Chunguza historia ya wazawa kuuza madini kwa mafanikio inaonekana Hufahamu kuhusu biashara ya madini. Nakubaliana na serikali wanavyopigania madini yatunufaishe wote.
 
Hadi leo unaendekeza utumwa kwa wazungu! Hata kama wanatuzidi maarifa lazima nasi tujitutumue japo kidogo
Acha upumbavu...

Wazungu ni watu kama walivyo wewe na mimi

siwezi wadharau as if wao ni wanyama....

Mpumbavu kama wewe ndie unaeweza fanya reverse racism!

Wazungu wana reputation ya kua efficient kwa wayafanyayo kama sisi Waafrika tulivyo na reputation ya kua wazembe,sio generalization ya wote,sio wote..

Ninapozungumzia reputations,wewe unafungua matako unaongea moshi mtupu sijui kwa faida ya nani?

Wazungu hao hao wakikupa msaada unawasifia,wazungu hao hao wakikupeleka mahakamani kudai maslahi yao tayari washakua majitu?!!!

Get the fvck outta here!

Usiwe na double standard,treat everyone equal,wawe na madai au wasiwe na madai!
 
Jibu swali we mburula! Ulitaka Acacia aende mahakamani akafanye nini wakati hadi sasa yeye ndie winner? Akili fupi ndo maana unashindwa kuelewa mambo madogo kama haya, boya wewe!!
Acacia wanasafirisha makinikia kama zamani?
 
Hadi leo unaendekeza utumwa kwa wazungu! Hata kama wanatuzidi maarifa lazima nasi tujitutumue japo kidogo
Hpo yenyewe vitu vyote unavyotumia vimetengenezwa na mzungu!
Una kingine

Ova
 
Unadhani wazungu hua wanakurupuka kama nyie?

Wanajipanga,wanaandaa charges tu,ikifika muda wa ku-strike,niggas you are in deep shit!

Nyie subirini...mzungu hua asahau kitu mzee!
nilidhani mababu zetu ndio walitawaliwa na kuathirika na hofu ya wazungu, kumbe hii kitu inarithiwa......
tuache wachache walio na mawazo huru wafanye kazi
 
Acacia wanasafirisha makinikia kama zamani?
Angalia ulivyo mpumbavu?! Makinikia yana-account asilimia ngapi ya mapato yao na madini safi ambayo hadi kesho wanaendelea kusafirisha yana-account asilimia ngapi ya mapato yao?! Ndo maana nimekuambia hujui lolote, kwahiyo piga kimya!
 
Ewe kenge uliyejaa unyumbubkichwani ,hapa unatetea madini ya watanzania au wazungu?
Natetea mwenye haki yake....

Watanzania ni wanadamu kama walivyo wanadamu wengine...

Kama wazungu wanaona wameoonewa wanaenda mahakamani hiyo ndio haki!

Nyie kama hakuna mlichodhulumu nendeni mahakamani mkajibu hoja....

Kama hamjafanya ubaya mtashinda,kama hamkufanya mtalipa fidia!

Hiyo ndio system ya haki tuliyojichagulia wanadamu hapa duniani.....yaani mahakama!

Sasa wewe unadhani mimi nina akili fupi kama nyie ya kudhani eti kwavile ni Mtanzania basi hata kama tumefanya vibaya kumdhulumu mtu nitetee tuu kama juha....!

Sipo kwenye propaganda za kipumbavu kama hivyo...

Nyie vichwa maji ndio Jiwe anawapeleka kama mbuzi na hoja ya uzalendo mfu namna hiyo!
 
Angalia ulivyo mpumbavu?! Makinikia yana-account asilimia ngapi ya mapato yao na madini safi ambayo hadi kesho wanaendelea kusafirisha yana-account asilimia ngapi ya mapato yao?! Ndo maana nimekuambia hujui lolote, kwahiyo piga kimya!
Kama makinikia haya account chochote kwa nini wanalilia kuyasafirisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…