Lissu ulisema tutashitakiwa MIGA

Lissu ulisema tutashitakiwa MIGA

Unaelewa au umeamua kushabikia tu?

Ni nini mpaka sasa tulichokibadilisha ambacho kimekuwa na manufaa makubwa kwetu?

Huenda umekosa uelewa, kwa sada ni mapato yanayotokana na mrabaha tu ndiyo iliyoongezeka lakini mapato ya jumla kutokana na sekta ya madini yameshuka maradufu.
Kwa nini mapato ya mrabaha yaongezeke sasa?
 
Ewe kenge uliyejaa unyumbubkichwani ,hapa unatetea madini ya watanzania au wazungu?
Na huyu unae mtukana kwa kumuita "kenge aliyejaa unyumbu kichwani" ni binadamu mzungu au binadamu mtanzania???

Nadhani mzungu atakuwa anatazama na kuona kenge wawili wenye akili za kinyumbu wakifarakana na kwa sababu hii, kama huwezi kumuheshimu ndugu yako basi usitarajie kuheshimiwa na ndiyo sababu wazungu hawatuheshimu maana wenyewe hatuheshimiani sababu tunalazimisha tufanane fikra na mawazo sawa.

Sikupenda kutumia lugha uliyoitumia wewe hiyo ya 'ukenge' na 'unyumbu' ila nimelazimika kuitumia nahisi inasadifu uelewa wako.
 
Habari.

Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.

Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!

Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!

Je kama tungesikiliza ushauri wa LISU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3???
Huu uzi wako uhifadhi ili baadaye ugeuke chambio lako..Subiri kidogooo visiku vichache utapata ulichouliza
 
Habari.

Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.

Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!

Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!

Je kama tungesikiliza ushauri wa LISU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3???
Lissu ni mwizi na msaliti tu, anaitumia elimu yake kuwalaghai nyumbu wachache wasio na elimu kabisa
 
Sheria zilibadilishwa ili kulinufaisha taifa. Vipi, toka sheria ibadirishwe kuna manufaa yoyote?. Au ndo tunaprint vitambulisho vya ujasiliamali vingi zaidi?.
Wakati wa kikwete unaosemekana mikataba ilikuwa haifaidishi taifa,mapato y amadini yaliwekwa wazi,leo kuna sheria ya kuzuia hilo na wamejitoa kwenye open goverment treaty na bado watu wanashangilia mbaya zaidi wanatulazimisha na sisi wenye akili timamu tuungane nao kwenye ujuha wao.
 
Habari.

Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.

Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!

Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!

Je kama tungesikiliza ushauri wa LISU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3???
Hujui tuna kesi zimeshafunguliwa tayari?
 
Lisu ana kipaji cha upotoshaji na kwa bahati nzuri sana au mbaya amepata sehemu nzuri inayomfaa, kuendesha uongo wake Chadema.
Ukiniuliza mm mwenye kipaji cha upotoshaji nitakwambia namba moja ni yule aliyeitangazia dunia na kwamba tutalipwa na ACC ASIA Mpaka Leo hajasema amelipwa shilling ngapi?

Yule aliyepora KOROSHO ZA WAKULLA HUKO KUSINI NA KUWEKA KWENYE MAHALA PASIPO NA KULIPA!
at anakagua kangoMBA!
 
Woote hawa wanaojifanya kurekebisha sheria mbovu ktk uwekezaji wa madini ndio hao hao waliozitunga. Hakuna chochote hapo, ni unafiki mtupu.

Mchawi ameshaloga halafu tena anajifanya kuagua. This is very silly.
 
Mse'nge wewe, naona umeanza matusi, cho'ko mkubwa! Jibu swali ! Ulitaka Acacia aende mahakamani akafanye nini wakati hadi sasa yeye ndie winner? Akili fupi ndo maana unashindwa kuelewa mambo madogo kama haya, mbwa wewe!!
Naona kuna shida kubwa kwenye elimu ya vijana wetu.
Huwa mnachangia bila kuelewa hoja.
Hivi hoja ya Lisu ilihusu ACACIA kutulipa au kutotulipa pesa?
 
Woote hawa wanaojifanya kurekebisha sheria mbovu ktk uwekezaji wa madini ndio hao hao waliozitunga. Hakuna chochote hapo, ni unafiki mtupu.

Mchawi amashaloga halafu tena anajifanya kuagua. This is very silly.
Wapongeze kwa kurekebisha sasa
 
Naona kuna shida kubwa kwenye elimu ya vijana wetu.
Huwa mnachangia bila kuelewa hoja.
Hivi hoja ya Lisu ilihusu ACACIA kutulipa au kutotulipa pesa?
Kwahiyo hapo wewe ndo unaona elimu yako iko vizuri na kwahiyo unaelewa sana?!

Hoja ya Lissu ilikuwa kwamba, tukifanya mambo kwa mihemuko Acacia watatupeleka mahakamani kwa sababu hawa watu wanalindwa na mikataba ya Kimataifa! Akazungumza wazi kwamba, ikama kweli serikali ina nia ya dhati ya kupambaba na dhuluma ya hawa watu, basi serikali ijiondoe kwanza kwenye hii mikataba! Ukisjajiondoa, Acacia anakuwa hana pa kukimbilia except kwenye mahakama zetu za ndani! Hawawezi tena kwenda kwenye mahakama za Kimataifa kwa sababu kujiondoa kwetu ni kusema hatuzitambuia hizo mahakama!

Mleta mada na watu aina yako mnaotamba kuwa ni waelewa wakati hamuelewi; anamkejeli Lissu kwamba mbona hao Acacia wenyewe hawajatushitaki!

Ndipo nami nikaja na hoja kwamba kwa sasa Acacia hawana sababu ya kutushitaki! Hawana sababu hiyo kwa sababu mtake msitake; hadi sasa Acacia ndie mshindi! Serikali imesema Acacia tunawadai zaidi ya Trillion 400 lakini hadi sasa hawajalipa hata sent 5 na tunaenda mwaka wa 3 sasa! Katika kupoteza muda, Barrick wakaahidi "Kishika Uchumba" cha US$ 300 Million! Nadhani inaenda miaka 2 sasa lakini hizo nazo hawajalipa hata sent 5! Sasa waende mahakamani wakafanye nini wakati wenyewe wanatuchezea danadana kama mazuzu?! Na kama umeshindwa kuunganisha dots kwanini nimeleta hoja ya malipo halafu bado unajigamba kuwa muelewa; basi una safari ndefu!!

Assumption ya Lissu ni kama alitarajia serikali ingewabana Acacia kisawasawa kiasi kwamba wasingekuwa na pa kupumulia kama ambavyo iliwahi kutokea kwenye makampumi ya mafuta huko Amerika ya Kusini! Hata hivyo, Acacia hajabanwa mbavu kihivyo kwa sababu pamoja na kuzuia makinikia lakini wanaendelea na shughuli zao kama kawaida! Na ndio maana ingawaje miaka 3 imeshafika; lakini bado wanaendelea kudunda tu!! Na kiburi chote hiki cha Acacia ni kwa sababu wanafahamu wanalindwa na mikataba ya kimataifa! Na ni kutokana na huo ukweli ndio maana hata serikali wenyewe wanashindwa kuchukua hatua kali dhidi ya Acacia! Lakini lau kama serikali ingesikiliza ushauri wa TL wa kuanza kwanza kujitoa kwenye hizi mahakama kabla ya kuwang'ang'ania Acacia; hivi sasa Acacia wasingekuwa na hiki kiburi kwa sababu wangefahamu hawana pa kukimbilia!
 
Habari.

Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi litakiona cha moto kwa kushitakiwa MIGA na kulipa mabilioni ya faini!.

Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote, wapinzani wakiongozwa na Lisu walipinga vikali hatua hii!!

Miaka miwili baada ya kubadili sheria na mikataba hatujashitakiwa MIGA kama tulivyoahidiwa na mwanasheria tuliyemsomesha kwa kodi zetu Lisu!! badala yake tumeanza kuona matunda ya kubadili sheria baada ya kuanzishwa masoko ya madini na hivi karibuni kuna mchimbaji mdogo huko Shinyanga ameuza almasi yake kwa zaidi ya billion 3!

Je kama tungesikiliza ushauri wa LISSU huyo mchimbaji mdogo angeipata wapi hiyo billioni 3?
Ni wivu tuu
 
Kwani alisema tutashitakiwa kabla ya miaka miwili? Kutoshitakiwa ndani ya hii miaka miwili haimaanishi ndo tuko salama 100%
 
Kwahiyo hapo wewe ndo unaona elimu yako iko vizuri na kwahiyo unaelewa sana?!

Hoja ya Lissu ilikuwa kwamba, tukifanya mambo kwa mihemuko Acacia watatupeleka mahakamani kwa sababu hawa watu wanalindwa na mikataba ya Kimataifa! Akazungumza wazi kwamba, ikama kweli serikali ina nia ya dhati ya kupambaba na dhuluma ya hawa watu, basi serikali ijiondoe kwanza kwenye hii mikataba! Ukisjajiondoa, Acacia anakuwa hana pa kukimbilia except kwenye mahakama zetu za ndani! Hawawezi tena kwenda kwenye mahakama za Kimataifa kwa sababu kujiondoa kwetu ni kusema hatuzitambuia hizo mahakama!

Mleta mada na watu aina yako mnaotamba kuwa ni waelewa wakati hamuelewi; anamkejeli Lissu kwamba mbona hao Acacia wenyewe hawajatushitaki!

Ndipo nami nikaja na hoja kwamba kwa sasa Acacia hawana sababu ya kutushitaki! Hawana sababu hiyo kwa sababu mtake msitake; hadi sasa Acacia ndie mshindi! Serikali imesema Acacia tunawadai zaidi ya Trillion 400 lakini hadi sasa hawajalipa hata sent 5 na tunaenda mwaka wa 3 sasa! Katika kupoteza muda, Barrick wakaahidi "Kishika Uchumba" cha US$ 300 Million! Nadhani inaenda miaka 2 sasa lakini hizo nazo hawajalipa hata sent 5! Sasa waende mahakamani wakafanye nini wakati wenyewe wanatuchezea danadana kama mazuzu?! Na kama umeshindwa kuunganisha dots kwanini nimeleta hoja ya malipo halafu bado unajigamba kuwa muelewa; basi una safari ndefu!!

Assumption ya Lissu ni kama alitarajia serikali ingewabana Acacia kisawasawa kiasi kwamba wasingekuwa na pa kupumulia kama ambavyo iliwahi kutokea kwenye makampumi ya mafuta huko Amerika ya Kusini! Hata hivyo, Acacia hajabanwa mbavu kihivyo kwa sababu pamoja na kuzuia makinikia lakini wanaendelea na shughuli zao kama kawaida! Na ndio maana ingawaje miaka 3 imeshafika; lakini bado wanaendelea kudunda tu!! Na kiburi chote hiki cha Acacia ni kwa sababu wanafahamu wanalindwa na mikataba ya kimataifa! Na ni kutokana na huo ukweli ndio maana hata serikali wenyewe wanashindwa kuchukua hatua kali dhidi ya Acacia! Lakini lau kama serikali ingesikiliza ushauri wa TL wa kuanza kwanza kujitoa kwenye hizi mahakama kabla ya kuwang'ang'ania Acacia; hivi sasa Acacia wasingekuwa na hiki kiburi kwa sababu wangefahamu hawana pa kukimbilia!
Kwa taarifa yako ewe mwenye unyumbu kichwani kwa sasa makampuni yote ya madini yanachimba kwa kufuata sheria mpya zilizobadilishwa na jembe Magufuli badala ya zile za enzi ya Kikwete.
 
Back
Top Bottom