Uchaguzi 2020 Lissu umati usikudanganye, wengi hawajajiandikisha


Sawa hawajajiandikisha ila wale wanafunzi wa shule ya msingi na secondari mnaowakuanya kwa magufuli ndo wamejiandikisha.
Acha kuharisha umekula maharagwe ya wapi?
 
Wanafunzi wa darasa la pili na la tatu bila kusahau chekechea wanaohudhuria mikutano ya Sizonje Una uhakika gani kama wamejiandikisha au wewe ni mchepuko wa the late shekh yahya kwamba unaweza kutabir? Akili mbofu sura mbof.
 
Lowasa alishinda uchaguzi, kamati ya makamba akishirikiana na tume kuchakachua kura
Asingeweza kushinda kwa kuhutubia jukwaani dakika mbili tu. Huku akiwaambia watu waende kutazama sera zake kwenye tovuti ya chama!!.

Nimesimama jukwaani tangu saa nne asubuhi wewe saa kumi unakuja kuniambia nikasome sera kwenye tovuti, Lowassa hakushinda.
 
Wakajenge kibanda chao cha Ufipa kwanza, kulikoni kutudanganya wataleta hili, au lile huku wakiwa hawawezi kupaka rangi hata ofisi yao.
 
Lowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.

Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.
Leo nimeona mbeya nako wanapiga deki kwa ajili ya jiwe, ina maana na yeye hatapata?
 
Wale wanafunzi mnaowasomba kwa malori ya wafanyabiashara ndio wamejiandikisha?
 
Lowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.

Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.

Lowasa alishinda mkampora. Tati our uchaguzi wa nchi Hii ni wa hovyo sana,maana wapinzani wanashindana na ccm na tume kwa pomoja,kamwe hawawezi kushinda
 
Lowasa alishinda mkampora. Tati our uchaguzi wa nchi Hii ni wa hovyo sana,maana wapinzani wanashindana na ccm na tume kwa pomoja,kamwe hawawezi kushinda
Lowassa hakuwa vizuri kiafya alikuwa anaongea dakika mbili tu jukwaani. Asingeweza kushinda, watanzania walimpima na kuona hakuwa tayari.

Zile kura milioni sita alizopata ni ushahidi kuwa ana nyota kali sana lakini urais hakuwa tayari kufanya shughuli nzito zilizofanywa na JPM kwa miaka hii mitano.
 
Nonsense
 

Wale wanafunzi wa shule mnaobeba kwa malori waje mkutanoni na wengine kuja kumuona diamond na kujaza uwanja je wameandikishwa???
 
Uchaguzi wa Tanzania ni kwaajili ya kuwapa burudani wanachi tu, na baadhi kutengeneza hela. Hakuna uchaguzi wa kweli. CCM itashinda urais na 80 ya wabunge? 20% wataambulia upinzani ili kuwaridhisha wazungu ili waendelee kutupa misaada. Kama usipo elewa hili na kukubali matokeo basi unatafuta kujipa presha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…