Uchaguzi 2020 Lissu umati usikudanganye, wengi hawajajiandikisha

Wanaccm wengi moyoni ni wapinzani ingawa wanavaa nguo za kijani kulinda mali zao binafsi na pia kuepuka kubambikiwa kesi endapo wataonekana kuunga mkono wapinzani
 
Afadhali ya Lowassa kuliko huyu, huyu ni mwepesi sana kwani siasa ni zaidi ya mbwembwe za uwakili.
Wewe ndiyo una mbwembwe za kujifariji kwa kuabudu zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM mpaka mpaka kujitoa fahamu kufananisha mwaka 2015 na sasa mwaka 2020, Tambueni kuwa mwaka 2020 watu wana machungu mengi wametaabika sana wameonewa mno wamebambikiwa kesi ni tofauti na kipindi cha lowasa
 
Watanzania wa wapi unawasemea? Labda watanzania wa hapo gheto unapovuta Bangi na kujitoa fahamu, lakini watanzania wenye Akili timamu wanamuelewa vizuri Tundu lisu, wamechoka na udhalimu unyanyasaji uonevu wa utawala wenu, CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura ni weupe sana
 
Madhara ya zile nyavu kisayansi nadhani unayajua.

Hizi nchi za kiafrika zinahitaji marais wenye maamuzi magumu.
Maamuzi magumu ni kutafuna trilion 1.5 kienyeji kisha kumtoa CAG kafara kwa njia haramu za kishetani? Maamuzi magumu ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge?
 
Watu wa sekta ya madini wataziba Pengo la kura zenu, maisha yataendelea fresh tu.

Usisahau wale wenye vyeti original waliochukua nafasi ya wale wa vyeti vya stationary, hao pia wataziba Pengo lenu wapendwa wavuvi.
Sekita ya madini bado kuna mapungufu mengi vilio ni vingi, ajila hakuna wasomi wengi hawana ajila, wavivu ni CCM wana uvivu wa kufikiri kuliko vivu zote Duniani
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za viwanda pesa za maendeleo pesa za walipa kodi inatumika kuidhoofisha chadema kuua upinzani kuwabambikia kesi kufanya mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa, kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko mataifa mengi Duniani na ingekuwa na kura ya veto
 

Watu waliojiandikisha kupiga kura Million 29 ni zaidi ya asilimia 90% ya watu wote wenye sifa ya kuwa wapiga kura yaani watu wenye miaka 18 na zaidi.

Hivyo, watu wengi sana wajiandikisha kupiga kura na watu ambao hawajajiandikisha kupiga kura ni chini ya asilimia 10 %.
 
Haiwezekani wapiga kura wawe milioni 29 halafu wengi katika umati wa TAL wawe hawajajiandikisha
 
Sawa, basi tulieni hivo hivo tupige kura na zihesabiwe bila kuchakachua muone kama CCM itapata asilimia 30
 
Ndiyo hawajajiandikisha lakini watamuunga mkono katika maandamano kama walivyo wachangia wakati wa Akwilina angalia hilo kwa makini
 
Wacha UPUUZI wako wewe! Huo utafiti wako kwamba hawajajiandikisha uliufanya lini na katika mikoa ipi ambayo Lissu ameshapita!?

 
Waliojiandikisha pamoja na waliokwenye mikuganonya ccm watampigia kura. Ninmashujaa wanohuduria mikutano na wafuasi wanaoogopa kujitokeza hadharani ila watampa kura. Goli la mkono linaenxa kushindwa
 
Nyinyi mbona mlijaza wanafunzi hatulalamiki...
 
Lowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.

Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.
Lowasa mwaka 2015 aliibiwa kura usijitoe ufahamu. Dr Slaa mwaka2010 pia aliibiwa kura na JK. Mrema halikadhalika aliibiwa kura na Mkapa chini ya Mwl Nyerere mwaka 1995.
Miaka CCM iliyoshinda kihalali huku bara ni mwaka2000 na 2005 tu.
Huko Zanzibar CCM ndiyo haijawahi kushinda uchaguzi wa urais toka 1995 hadi 2015 zaidi ya kumpora Maalim Seif ushindi wake
 
Nyie umati wenu wamejiandikisha?, hizo ni hoja mufilisi. Mtaji wa mwanasiasa ni watu, kama unakiri TL ana umati mkubwa basi ujue anakubarika zaidi yenu.
 
Ahaaaa ahaaaa nimecheka kwa nguvu, kawaambie tume ya uchaguzi hiyo idadi ya wapiga kura ya kupika ya 29m+ itawatokea puani safari hii. Maana wapiga kura ni 29m, basi hakuna mtanzania yoyote mwenye miaka 18+ ambaye hajajiandikisha.
Hahahahaha, hii idadi wsmejidanganya wao
 
Mada ya hovyo tupilia huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…