Uchaguzi 2020 Lissu umati usikudanganye, wengi hawajajiandikisha

Na kuna wengi sana wamefanikiwa kupata hati za viwanja walivyodhulumiwa kwa miaka mingi.

Wengi sana wamepata kazi baada ya vyeti feki kushughulikiwa.

Wengi wanakwenda kutumia usafiri wa chaguo lao, aidha treni, ndege au basi.

Wengi wanakwenda kufaidika na upanuzi wa bandari na meli za kwenye maziwa.

Hakuna kiongozi wa Afrika ambaye anaonekana haja fanya kitu akiwa ikulu lakini hukumbukwa akishaondoka.
 
Sekita ya madini bado kuna mapungufu mengi vilio ni vingi, ajila hakuna wasomi wengi hawana ajila, wavivu ni CCM wana uvivu wa kufikiri kuliko vivu zote Duniani

Malalamiko yako tu yanaonyesha ni mtoto wa mijini mlalamikaji.
 
Maamuzi magumu ni kutafuna trilion 1.5 kienyeji kisha kumtoa CAG kafara kwa njia haramu za kishetani? Maamuzi magumu ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge?
Unarudia ule ule ukasuku wa kuongea maneno ya kukaririshwa na wanasiasa wanaoongea pasipo ushahidi wa kile wanachokisema.
 
Upinzani haujawahi kuwa na mwanasiasa competitive kwenye urais mpaka aibiwe kura.

Wanakuwa ni wepesi wanaobebwa na media zetu ambazo pia zimejaa watu wepesi wasio na uwezo wa kufikisha ujumbe mpana kadri unavyotakiwa uifikie jamii.
 
kwahiyo na meko nae anavotumia nguvu mpaka kufanya fiesta ili wananchi wajae nao pia ujazo ule usimtie kiburi wengi wao pale hawajajiandikisha. kwahiyo hana kitu pale wengi wamefuata FIESTA
 
Hakili zako na zamkee wangu nilimuacha hazitofautian
 
Wale wanao enda kwa jiwe wamejiandikisha?
 
Tumejiandikisha
 

Umati wa CCM nani amekwambia wote wameandikishwa ?
 
Mara picha za kuchakachua mara hawajajiandikisha... Utopolo mtupu
 
Kama hawajajiandikiaha wewe kinachokuwasha nini? Shindeni basi uchaguzi.

NB: manaowaita WANYONGE siyo wale wa miaka 47.

Ujinga mzigo.

Wawaambie wale polisi na Dkt. Manoti wasipate pressure zile nyomi hawajajiandikisha.
 
Matako yako, walojiandikisha ni wa CCM au"?????
 
Lowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.

Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.
Matako yako.


Sote tunajua kilichotokea kwa lowassa

Nandicho mmebakisha kukitumia
 
Lowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.

Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.
Magufuli naye kapigiwa deki huko mbeya, what does it tell you??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Matako yako.


Sote tunajua kilichotokea kwa lowassa

Nandicho mmebakisha kukitumia
Mapovu kwanza hoja baadae. Kilichomkuta Lowassa ni ushindi wa Magufuli.

Ndani ya miaka mitano kilichofanywa na JPM ni ushahidi wa maamuzi sahihi ya wapiga kura, kiongozi wa sasa yupo field akifanya kazi muda wote.
 
Upuuzi mtupu umati wa lissu hawajajiandikisha ila kwa jiwe wamejiandikisha au sio.
Umenisaidia na kuniokolea muda kwa kuuliza swali hilo hilo. Kama ungesema kuwa wapinzani wengi hawakujiandikisha hilo hali juu yeyote, lakini ikiwa Watanzania wengi hawajajiandikisha, hilo itaathiri vyama vyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…