Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa mchawi wewe, eti kwa shughuri nyingine si pamoja na uchaguziNdugu huo Umati wa kujiandikisha,wengi wao wanataka vitambulisho wa ajili ya shughuli zao nyingine.
Na kuna wengi sana wamefanikiwa kupata hati za viwanja walivyodhulumiwa kwa miaka mingi.Wewe ndiyo una mbwembwe za kujifariji kwa kuabudu zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM mpaka mpaka kujitoa fahamu kufananisha mwaka 2015 na sasa mwaka 2020, Tambueni kuwa mwaka 2020 watu wana machungu mengi wametaabika sana wameonewa mno wamebambikiwa kesi ni tofauti na kipindi cha lowasa
Sekita ya madini bado kuna mapungufu mengi vilio ni vingi, ajila hakuna wasomi wengi hawana ajila, wavivu ni CCM wana uvivu wa kufikiri kuliko vivu zote Duniani
Unarudia ule ule ukasuku wa kuongea maneno ya kukaririshwa na wanasiasa wanaoongea pasipo ushahidi wa kile wanachokisema.Maamuzi magumu ni kutafuna trilion 1.5 kienyeji kisha kumtoa CAG kafara kwa njia haramu za kishetani? Maamuzi magumu ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge?
Upinzani haujawahi kuwa na mwanasiasa competitive kwenye urais mpaka aibiwe kura.Lowasa mwaka 2015 aliibiwa kura usijitoe ufahamu. Dr Slaa mwaka2010 pia aliibiwa kura na JK. Mrema halikadhalika aliibiwa kura na Mkapa chini ya Mwl Nyerere mwaka 1995.
Miaka CCM iliyoshinda kihalali huku bara ni mwaka2000 na 2005 tu.
Huko Zanzibar CCM ndiyo haijawahi kushinda uchaguzi wa urais toka 1995 hadi 2015 zaidi ya kumpora Maalim Seif ushindi wake
Bora kwa Lissu asilimia nyingi wanaenda watu wanajitambua kuliko wanaoenda kwa jiwe FIESTA ILIYOANDALIWA NA CCM WANAOJAA NI WANAFUNZI NA VIJANA WAPENDA MIZIKI😜😜Upuuzi mtupu umati wa lissu hawajajiandikisha ila kwa jiwe wamejiandikisha au sio.
kwahiyo na meko nae anavotumia nguvu mpaka kufanya fiesta ili wananchi wajae nao pia ujazo ule usimtie kiburi wengi wao pale hawajajiandikisha. kwahiyo hana kitu pale wengi wamefuata FIESTAWafuasi wa CHADEMA na Lissu wamekuwa wakipagawa na kuota kwamba, uchaguzi wa October utawapatia ushindi na kwa mara ya kwanza toka tujipatie Uhuru nchi itaongozwa na upinzani.
Hii ni kutokana na Umati ambao umekuwa ukijitokeza kwenye kampeni za ugombea urais kwa mheshimiwa Tundu Lissu. Niwaambie wafuasi wa CHADEMA endeleeni kufurahia ngojera za mgombea wenu ila Urais mtaendelea kuusikia hadi 2925.
Sababu ya kwanza ni kwamba, watanzania wengi mnaowaona kwenye mikutano, hawajajiandikisha na hata hao waliojiandikisha, kwenye uchaguzi wa mwaka huu hawataamka kwenda kupiga hiyo kura kwa vile inajulikana wazi Mjomba Magu anarudi pale Chamwino na Magogoni.
Pili, vyama vya upinzani vyote vimeshapoteza mvuto kwa wananchi na kuikubali CCM na mgombea wake, kwa yale Serikali ya CCM iliyoyafanya na yanaonekana kwa macho na hata kuyagusa kwa mkono.
Tatu, Viongozi wa vyama vya upinzani wameshapoteza imani kwa wananchi na hasa Wasomi na waelewa wa mambo,ambao miaka michache iliyopita ndiyo tulikuwa tukiunga mkono mageuzi, kwa kuona CCM ni ya watu wasiojielewa. Kupotea kwa imani hii kumetokana na viongozi wenyewe wa vyama vya upinzani kufanya kama taasisi zao, na si za wananchi. Tazama Mbowe na Chadema, Zitto na ACT, hawana tofauti na Mzee Mrema wa TLP, au NCCR ya Mbatia.Ndiyo maana Dr Slaa aliyaona haya mapema akaamua kukaa pembeni.Chadema na wafuasi wenu msijidanganye.
Hakili zako na zamkee wangu nilimuacha hazitofautianWafuasi wa CHADEMA na Lissu wamekuwa wakipagawa na kuota kwamba, uchaguzi wa October utawapatia ushindi na kwa mara ya kwanza toka tujipatie Uhuru nchi itaongozwa na upinzani.
Hii ni kutokana na Umati ambao umekuwa ukijitokeza kwenye kampeni za ugombea urais kwa mheshimiwa Tundu Lissu. Niwaambie wafuasi wa CHADEMA endeleeni kufurahia ngojera za mgombea wenu ila Urais mtaendelea kuusikia hadi 2925.
Sababu ya kwanza ni kwamba, watanzania wengi mnaowaona kwenye mikutano, hawajajiandikisha na hata hao waliojiandikisha, kwenye uchaguzi wa mwaka huu hawataamka kwenda kupiga hiyo kura kwa vile inajulikana wazi Mjomba Magu anarudi pale Chamwino na Magogoni.
Pili, vyama vya upinzani vyote vimeshapoteza mvuto kwa wananchi na kuikubali CCM na mgombea wake, kwa yale Serikali ya CCM iliyoyafanya na yanaonekana kwa macho na hata kuyagusa kwa mkono.
Tatu, Viongozi wa vyama vya upinzani wameshapoteza imani kwa wananchi na hasa Wasomi na waelewa wa mambo,ambao miaka michache iliyopita ndiyo tulikuwa tukiunga mkono mageuzi, kwa kuona CCM ni ya watu wasiojielewa. Kupotea kwa imani hii kumetokana na viongozi wenyewe wa vyama vya upinzani kufanya kama taasisi zao, na si za wananchi. Tazama Mbowe na Chadema, Zitto na ACT, hawana tofauti na Mzee Mrema wa TLP, au NCCR ya Mbatia.Ndiyo maana Dr Slaa aliyaona haya mapema akaamua kukaa pembeni.Chadema na wafuasi wenu msijidanganye.
Wafuasi wa CHADEMA na Lissu wamekuwa wakipagawa na kuota kwamba, uchaguzi wa October utawapatia ushindi na kwa mara ya kwanza toka tujipatie Uhuru nchi itaongozwa na upinzani.

TumejiandikishaWafuasi wa CHADEMA na Lissu wamekuwa wakipagawa na kuota kwamba, uchaguzi wa October utawapatia ushindi na kwa mara ya kwanza toka tujipatie Uhuru nchi itaongozwa na upinzani.

Kama hawajajiandikiaha wewe kinachokuwasha nini? Shindeni basi uchaguzi.
NB: manaowaita WANYONGE siyo wale wa miaka 47.
Matako yako, walojiandikisha ni wa CCM au"?????Wafuasi wa CHADEMA na Lissu wamekuwa wakipagawa na kuota kwamba, uchaguzi wa October utawapatia ushindi na kwa mara ya kwanza toka tujipatie Uhuru nchi itaongozwa na upinzani.
Hii ni kutokana na Umati ambao umekuwa ukijitokeza kwenye kampeni za ugombea urais kwa mheshimiwa Tundu Lissu. Niwaambie wafuasi wa CHADEMA endeleeni kufurahia ngojera za mgombea wenu ila Urais mtaendelea kuusikia hadi 2925.
Sababu ya kwanza ni kwamba, watanzania wengi mnaowaona kwenye mikutano, hawajajiandikisha na hata hao waliojiandikisha, kwenye uchaguzi wa mwaka huu hawataamka kwenda kupiga hiyo kura kwa vile inajulikana wazi Mjomba Magu anarudi pale Chamwino na Magogoni.
Pili, vyama vya upinzani vyote vimeshapoteza mvuto kwa wananchi na kuikubali CCM na mgombea wake, kwa yale Serikali ya CCM iliyoyafanya na yanaonekana kwa macho na hata kuyagusa kwa mkono.
Tatu, Viongozi wa vyama vya upinzani wameshapoteza imani kwa wananchi na hasa Wasomi na waelewa wa mambo,ambao miaka michache iliyopita ndiyo tulikuwa tukiunga mkono mageuzi, kwa kuona CCM ni ya watu wasiojielewa. Kupotea kwa imani hii kumetokana na viongozi wenyewe wa vyama vya upinzani kufanya kama taasisi zao, na si za wananchi. Tazama Mbowe na Chadema, Zitto na ACT, hawana tofauti na Mzee Mrema wa TLP, au NCCR ya Mbatia.Ndiyo maana Dr Slaa aliyaona haya mapema akaamua kukaa pembeni.Chadema na wafuasi wenu msijidanganye.
Matako yako.Lowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.
Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.
Magufuli naye kapigiwa deki huko mbeya, what does it tell you??Lowassa alipigiwa mpaka deki katika barabara aliyokatiza kule Mwanza ulipo fikra siku ya uchaguzi akabaki akishangaa.
Watanzania ni sawa sawa na “wajumbe”, wanaweza kukukarimu mpaka ukajiona unaishi mawinguni.
Mapovu kwanza hoja baadae. Kilichomkuta Lowassa ni ushindi wa Magufuli.Matako yako.
Sote tunajua kilichotokea kwa lowassa
Nandicho mmebakisha kukitumia
Magufuli anayaishi maneno yake, anaziishi ahadi zake.Magufuli naye kapigiwa deki huko mbeya, what does it tell you??
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Umenisaidia na kuniokolea muda kwa kuuliza swali hilo hilo. Kama ungesema kuwa wapinzani wengi hawakujiandikisha hilo hali juu yeyote, lakini ikiwa Watanzania wengi hawajajiandikisha, hilo itaathiri vyama vyote.Upuuzi mtupu umati wa lissu hawajajiandikisha ila kwa jiwe wamejiandikisha au sio.