Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,334
Kuharibu ndoto za vijana ndio maslahi mapana ya nchi? Aliyekuroga alishakufa maana angekuwa hai angekuonea huruma.Kwa masilahi mapana ya nchi yaliyotendeka yalipaswa kutendeka. Hakuna ubishi Magufuli kafanya mambo makubwa sana katika kipindi chake cha kwanza
Tanzania nzima mkuu.Kwani mko wangapi?
Sijui kwanini hawalioni hili.Na hata hivyo kundi la Kwanza ulilolitaja ni helpless kwenye upigaji kura, ni nadra kumuona mfanyakaz ameenda kupanga folen kuanzia asubhi mpak jion akipigwa jua ili apige kura , Weng hubak home na kushangilia , wanachuo nao ndo hvo ikitangazwa Tu kila mmoja akapige kura kituo alichojiandikishia 80% wanakuwa dumped out , Ukiachilia mbali mianya ambayo CCM inayo , bado wana mtaji mkubwa wa wapiga kura waaminifu , akina mama na watu wa kijijini hawa watu wanamkubali JPM Zaid ya maelezo
Nakubaliana na wewe. Kwa sababu sasa wilayani na vijijini kwa chopa lazima aandae sera nzuri kwa ajili ya kuinua maisha ya wakulima, wafugaji na wavuvi. Timu ya kampeni ya chadema fanyieni kazi hili swala. Ni muhimu sana.Inatakiwa namba kubwa ya wapiga kura,namba kubwa si wanafunzi wa vyuo,wala si wafanyakazi wa serikali,wala si jobless waliomaliza vyuo vikuu.
Namba kubwa ni wamachinga,bodaboda,wakulima na wafugaji hasa watu walio vijijini.
Ili kushinda uchaguzi huu hasa ngazi ya uraisi ni kuleta hoja batamzinga,zitakazo leta impact kubwa kwa makundi hayo.
Wanataka kutumia helikopta kukusanya watuLisu kashajikatia tamaa
Wacha porojo bwana leta data hapa tuzichambue ni vijana wangapi wameharibiwa ndoto zao kwa kukosa fao la kujitoa (hapo naamini ulifanya utafiti) ila kama ni mawazo yako wewe na ya mme wako sina haja ya kujadiliana na wewe.Kuharibu ndoto za vijana ndio maslahi mapana ya nchi? Aliyekuroga alishakufa maana angekuwa hai angekuonea huruma.
Lissu umeshindwa kupindua meza? Kuna hujuma? Wananchi hawajakuelewa? Timu yako ya kampeni ndio imepwaya? Tatizo ni ukosefu wa fedha?
Kuna tatizo kubwa sana la ajira katika nchi hii. Umeshindwa kutumia gap hilo kuwafanya wananchi wakuone kama mkombozi wao katika hili? Licha ya ajira za uchaguzi zilizotangazwa na Tamisemi nafasi 13,000 kwa nini wewe usije na sera ya kuajiri watumishi zaidi ya 50,000 huku ukilitangaza kwa nguvu zote?
Kuna watu wanateseka sana kupata mafao yao hususani waliomaliza mikataba yao au kuachishwa kazi. Nani awasemee kwa nguvu zote kama sio wewe? Kwanini hulipigii kelele sana swala hili? Naamini wananchi watakuelewa.
Suala la elimu hususani vyuoni hujalitangaza kwa nguvu zote. Sisemi kwamba hujalitangaza kabisa, hapana. Tatizo ni kwamba watu hawajakuelewa bado
Pamoja na uwepo wa hospitali na vituo vingi vya afya bado ni changamoto kubwa sana kupata Huduma bora. Njoo na mkakati mzito wa kuwaaminisha wapiga kura wakuamini na wakuchague wewe
Tunaweza kupambana na kutukanana huku mitandaoni. Lakini ukweli ni kwamba BADO MEZA HAIJAPINDULIWA. Tulioko huku mitandaoni tunaweza kuwa tunapimana kwa mipasho kutokana na mahaba ya dhati tuliyo nayo kwa wagombea wetu but uhalisia uko hivyo kwenye field yenyewe.Mikakati mizito ifanywe ili kuwaaminisha wapiga kura kuwa Lissu ndiye jawabu la changamoto nyingi zinazowakabili wananchi
Wewe inafaa kuwa mpanga mikakati wa Chadema huenda ukawasaidia. Wasichokijua ni kuwa wafanyakazi wengi siku ya uchaguzi wameshaipa jina ni siku ya mapuziko wanatamani ifike ili walale hadi saa 5 huo muda wa kupanga foleni wanadai hawana.Na hata hivyo kundi la Kwanza ulilolitaja ni helpless kwenye upigaji kura, ni nadra kumuona mfanyakaz ameenda kupanga folen kuanzia asubhi mpak jion akipigwa jua ili apige kura , Weng hubak home na kushangilia , wanachuo nao ndo hvo ikitangazwa Tu kila mmoja akapige kura kituo alichojiandikishia 80% wanakuwa dumped out , Ukiachilia mbali mianya ambayo CCM inayo , bado wana mtaji mkubwa wa wapiga kura waaminifu , akina mama na watu wa kijijini hawa watu wanamkubali JPM Zaid ya maelezo
Hapana. Ni njia rahisi ya kuwafikia wapiga kura wilayani, majimboni na vijijini. Mbona wasikiliza sera za uhuru na maendeleo ya watu wanakuja wenyewe. Huko kwenu "watoto wengi" wanavutiwa kuja kuona shoo za bure za collabo ya nguvu ya akina Chege Chigunda, Diamond Platnumz, Banana Zorro, Ali Kiba na kadhalika....Wanataka kutumia helikopta kukusanya watu
kafanya nini huyu pimbi wako magufuli!Kwa sasa ni kuhakikisha serikali ya ccm chini ya Jemedari Magufuli inaendelea kubaki madarakani hilo ndo lamsingi kwasasa. Achana na Lissu anapoteza muda wake View attachment 1564934
Jana ndo alianza kubwabwanja kabisaALIKUJA NA KIHEREHERE HUYU JAMAA, MAHESABU YAKE ILIKUA KUPINDUA MEZA FASTA. MATOKEO YAKE KAGALAGAZWA MWENYEWE. HADI ANATIA HURUMA. ALIKUJA NA KIKI YA KUSHUDIA MUUJIZA AKIDHANI NDO KERO YA WABONGO.
haaaaa haaaaaaaa. Anatia huuuuruuumaaaa.
Hapana. Meza ilishapinduliwa tayari. Lissu yupo offensive. Na Magu yupo defensive. Sio kama 2015 ambapo kampeni zima Chadema walikuwa wakijitahidi kujibu mapigo ya CCM baada ya kumsimamisha mgombea dhoofu (elimu! elimu! elimu!) na mwenye makandokando mengi ya ufisadi. Lissu ameshaongelea haki vizuri akaeleweka. Pia ameongelea uhuru vizuri akaeleweka. Sasa lazima ajikite kwenye sera za 'maendeleo ya watu" huko kwenye umasikini mkubwa yaani mawilayani na vijijini.ALIKUJA NA KIHEREHERE HUYU JAMAA, MAHESABU YAKE ILIKUA KUPINDUA MEZA FASTA. MATOKEO YAKE KAGALAGAZWA MWENYEWE. HADI ANATIA HURUMA. ALIKUJA NA KIKI YA KUSHUDIA MUUJIZA AKIDHANI NDO KERO YA WABONGO.
haaaaa haaaaaaaa. Anatia huuuuruuumaaaa.
Lissu umeshindwa kupindua meza? Kuna hujuma? Wananchi hawajakuelewa? Timu yako ya kampeni ndio imepwaya? Tatizo ni ukosefu wa fedha?
Kuna tatizo kubwa sana la ajira katika nchi hii. Umeshindwa kutumia gap hilo kuwafanya wananchi wakuone kama mkombozi wao katika hili? Licha ya ajira za uchaguzi zilizotangazwa na Tamisemi nafasi 13,000 kwa nini wewe usije na sera ya kuajiri watumishi zaidi ya 50,000 huku ukilitangaza kwa nguvu zote?
Kuna watu wanateseka sana kupata mafao yao hususani waliomaliza mikataba yao au kuachishwa kazi. Nani awasemee kwa nguvu zote kama sio wewe? Kwanini hulipigii kelele sana swala hili? Naamini wananchi watakuelewa.
Suala la elimu hususani vyuoni hujalitangaza kwa nguvu zote. Sisemi kwamba hujalitangaza kabisa, hapana. Tatizo ni kwamba watu hawajakuelewa bado
Pamoja na uwepo wa hospitali na vituo vingi vya afya bado ni changamoto kubwa sana kupata Huduma bora. Njoo na mkakati mzito wa kuwaaminisha wapiga kura wakuamini na wakuchague wewe
Tunaweza kupambana na kutukanana huku mitandaoni. Lakini ukweli ni kwamba BADO MEZA HAIJAPINDULIWA. Tulioko huku mitandaoni tunaweza kuwa tunapimana kwa mipasho kutokana na mahaba ya dhati tuliyo nayo kwa wagombea wetu but uhalisia uko hivyo kwenye field yenyewe.Mikakati mizito ifanywe ili kuwaaminisha wapiga kura kuwa Lissu ndiye jawabu la changamoto nyingi zinazowakabili wananchi
Hapa ndipo wapinzani huwa wana feli, kutoangalia namba kubwa ya wapiga kura. Namshangaa mgombea anayedhani hasira za waliobomolewa nyumba zinaweza kumuingiza madarakani sababu ukiangalia idadi yao ni insignificant. sawa na tole la maji kwenye gunia la sukari. Mwaka 2010 wakati wa kikwete walitaka kuyatumia migomo na maandamano ya Waalimu, tuliwaambia wazi watumishi wa umma nchi hii hawazidi 400,000 hawawezi kuwasaidia kushinda, hawakuelewa matokeo yake waliyaona.Inatakiwa namba kubwa ya wapiga kura,namba kubwa si wanafunzi wa vyuo,wala si wafanyakazi wa serikali,wala si jobless waliomaliza vyuo vikuu.
Namba kubwa ni wamachinga,bodaboda,wakulima na wafugaji hasa watu walio vijijini.
Ili kushinda uchaguzi huu hasa ngazi ya uraisi ni kuleta hoja batamzinga,zitakazo leta impact kubwa kwa makundi hayo.
Hawa bado wanafanya majaribio kwenye mahabara,imekula kwao.Hapa ndipo wapinzani huwa wana feli, kutoangalia namba kubwa ya wapiga kura. Namshangaa mgombea anayedhani hasira za waliobomolewa nyumba zinaweza kumuingiza madarakani sababu ukiangalia idadi yao ni insignificant. sawa na tole la maji kwenye gunia la sukari. Mwaka 2010 wakati wa kikwete walitaka kuyatumia migomo na maandamano ya Waalimu, tuliwaambia wazi watumishi wa umma nchi hii hawazidi 400,000 hawawezi kuwasaidia kushinda, hawakuelewa matokeo yake waliyaona.
Ni kweli. Yeye ni mpigania haki wa muda mrefu kiasi kwamba ndio upande anaouongelea vizuri akionyesha maendeleo ya vitu lazima yawe na haki ndani yake. Kwa sasa anatakiwa aongelee maendeleo ya watu haswà wakulima, wafugaji na wavuvi (wapiga kura wengi sana hawa). Ingawaje hata kupata uhuru na haki ni maendeleo ya watu pia.Hapa ndipo wapinzani huwa wana feli, kutoangalia namba kubwa ya wapiga kura. Namshangaa mgombea anayedhani hasira za waliobomolewa nyumba zinaweza kumuingiza madarakani sababu ukiangalia idadi yao ni insignificant. sawa na tole la maji kwenye gunia la sukari. Mwaka 2010 wakati wa kikwete walitaka kuyatumia migomo na maandamano ya Waalimu, tuliwaambia wazi watumishi wa umma nchi hii hawazidi 400,000 hawawezi kuwasaidia kushinda, hawakuelewa matokeo yake waliyaona.
Umejiunga JF kwa mission maalum naona.Kwa masilahi mapana ya nchi yaliyotendeka yalipaswa kutendeka. Hakuna ubishi Magufuli kafanya mambo makubwa sana katika kipindi chake cha kwanza