Uchaguzi 2020 Lissu vs Nyalandu Urais umerudi kwenye heshima yake

Janjawid

Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
93
Reaction score
185
Ni ukweli usipingika kuwa kwa sasa macho na masikio yako kamati kuu ya chadema ya juu ya nani kupeperusha Bendera ya kugombea nafasi ya juu ktk uongozi wa nchi yetu, kitendo cha chadema kuwa na wagombea wawili machachali Hon.

Lazaro Nyalandu na Hon.Lissu imekuwa ndio gumzo hapa mjini hadi chama tawala ninafuatilia kwa ukaribu kila kinachoendelea Kamati Kuu, binafsi wote wanaweza
 
Lissu mwenyewe anamuunga mkono Nyarandu.hakika Nyarandu anafaa angalau kuifufua Chadema aliyopoteza muelekeo.
 
Ongea na nafsi yako ikiwa inasadifu, hivi kati ya Nyarandu na Liss ni nani mwenye uchungu na Chama? Kumbuka Nyarandu ni Mhamiaji tu kama walivyokujaga akina Lowasa kwa mbwe mbwe na baadae wakarudi CCM. Chadema msihadaike kila mwaka kama watoto wadogo. Hapo maco na masikio ya watz ni Lissu pekee, Nyarandu apate muda wa kujifunza kwanza. Hajawahi hata pigwa bakora tu akitetea Chadema/Upinzani.
 
Ni ukweli usipingika kuwa kwa sasa macho na masikio yako kamati kuu ya chadema ya juu ya nani kupeperusha Bendera ya kugombea nafasi ya juu ktk uongozi wa nchi yetu, kitendo cha chadema kuwa na wagombea wawili machachali Hon.

Lazaro Nyalandu na Hon.Lissu imekuwa ndio gumzo hapa mjini hadi chama tawala ninafuatilia kwa ukaribu kila kinachoendelea Kamati Kuu, binafsi wote wanaweza
Lazima atayepita hapo agawane kura na membe. Hamna namna
 
Tundu A. Lissu. Ukiamua kwenda kupinga matokeo tutakuwa wote na tutakusaidia kutafuta silaha ili kuwafurusha nyani wa kujani. Manina
Una umri gani na kwa sasa unajishughulisha na nini.
Nakuonea huruma kama maisha yamekushinda sembuse na vita.
 
Ngoja wagawane kura nyarandu/lissu na membe vs Jiwe la chato ngoja tuone mtanange huu,
 
Ni ukweli usipingika kuwa kwa sasa macho na masikio yako kamati kuu ya chadema ya juu ya nani kupeperusha Bendera ya kugombea nafasi ya juu ktk uongozi wa nchi yetu, kitendo cha chadema kuwa na wagombea wawili machachali Hon.

Lazaro Nyalandu na Hon.Lissu imekuwa ndio gumzo hapa mjini hadi chama tawala ninafuatilia kwa ukaribu kila kinachoendelea Kamati Kuu, binafsi wote wanaweza
Asante sana tena napendekeza wawe na mdahalo mkali kabisa kuonesha jinsi mbio za urais zinapaswa kuwa, na sio mambo ya kupita bila kupingwa, haya mambo hayana mashiko hata kidogo.
 
Back
Top Bottom