TURU BESTSingida Line
Ongea na nafsi yako ikiwa inasadifu, hivi kati ya Nyarandu na Liss ni nani mwenye uchungu na Chama? Kumbuka Nyarandu ni Mhamiaji tu kama walivyokujaga akina Lowasa kwa mbwe mbwe na baadae wakarudi CCM. Chadema msihadaike kila mwaka kama watoto wadogo. Hapo maco na masikio ya watz ni Lissu pekee, Nyarandu apate muda wa kujifunza kwanza. Hajawahi hata pigwa bakora tu akitetea Chadema/Upinzani.Lissu mwenyewe anamuunga mkono Nyarandu.hakika Nyarandu anafaa angalau kuifufua Chadema aliyopoteza muelekeo.
Subiri Nyalandu ale za uso kama Mwambe na Sumaye ndio utajua watu washayashtukia mapandikizi ya ccmLissu mwenyewe anamuunga mkono Nyarandu.hakika Nyarandu anafaa angalau kuifufua Chadema aliyopoteza muelekeo.
Lazima atayepita hapo agawane kura na membe. Hamna namnaNi ukweli usipingika kuwa kwa sasa macho na masikio yako kamati kuu ya chadema ya juu ya nani kupeperusha Bendera ya kugombea nafasi ya juu ktk uongozi wa nchi yetu, kitendo cha chadema kuwa na wagombea wawili machachali Hon.
Lazaro Nyalandu na Hon.Lissu imekuwa ndio gumzo hapa mjini hadi chama tawala ninafuatilia kwa ukaribu kila kinachoendelea Kamati Kuu, binafsi wote wanaweza
Una umri gani na kwa sasa unajishughulisha na nini.Tundu A. Lissu. Ukiamua kwenda kupinga matokeo tutakuwa wote na tutakusaidia kutafuta silaha ili kuwafurusha nyani wa kujani. Manina
Asante sana tena napendekeza wawe na mdahalo mkali kabisa kuonesha jinsi mbio za urais zinapaswa kuwa, na sio mambo ya kupita bila kupingwa, haya mambo hayana mashiko hata kidogo.Ni ukweli usipingika kuwa kwa sasa macho na masikio yako kamati kuu ya chadema ya juu ya nani kupeperusha Bendera ya kugombea nafasi ya juu ktk uongozi wa nchi yetu, kitendo cha chadema kuwa na wagombea wawili machachali Hon.
Lazaro Nyalandu na Hon.Lissu imekuwa ndio gumzo hapa mjini hadi chama tawala ninafuatilia kwa ukaribu kila kinachoendelea Kamati Kuu, binafsi wote wanaweza