Lissu: Wanaharakati wanastahili maua yao. Wanasiasa ni watu waongo waongo, waswahili waswahili, rushwa rushwa - wanakula!

Lissu: Wanaharakati wanastahili maua yao. Wanasiasa ni watu waongo waongo, waswahili waswahili, rushwa rushwa - wanakula!

Mugabe apumzike haraka

Hapo ni dream team ikipanga mikakati:

IMG_20250109_175045.jpg

Wenginewe ni hawa chawa tunaopishana nao humu mitandaoni. Hakuliki hakulaliki, almaarufu ndugu Mugabe hapeani kijiti.

Fortilo, Fundi Nchundo na wale wenginewe kazi mnayo!
 
Hapo ni dream team ikipanga mikakati:

View attachment 3196800

Wenginewe ni hawa chawa tunaopishana nao humu mitandaoni. Hakuliki hakulaliki, almaarufu ndugu Mugabe hapeani kijiti.

Fortilo, Fundi Nchundo na wale wenginewe kazi mnayo!

Hizi siasa uchwara za kuitana Chawa mnazitoa wapi kaka?

Tafadhali wacha hilo neno... Tungefahamiana kwenye real world usingekaa utumie hilo neno kwangu.

Pls stop this
 
Hizi siasa uchwara za kuitana Chawa mnazitoa wapi kaka?

Tafadhali wacha hilo neno... Tungefahamiana kwenye real world usingekaa utumie hilo neno kwangu.

Pls stop this

GgorHp4XUAAE0_u.jpeg

Usipowaita hao ndugu kwa nyadhifa zao, utakuwa umewatendea haki?

Chawa ni wadhifa, kuwa nao hata wewe si dhambi!
 
Jiwe gizani.

Uongo mbaya ile team ya yule ndugu anayeungwa mkono na CCM haijulikani kwanini amedhamiria ikibidi kukiuwa hiki chama.

Ni indicator zipi zisizomwonyesha kuwa yuko upande usio sahihi wa historia?
 
Kama mkweli aseme kwa nini wakati ule hakukataa mafao ya ubunge ambayo ni zaidi ya ml 150.Kwa nini hakupelekea waalimu au kuwatetea,leo kaona anakabwa anasema wenzake waongo,halafu anajifanya malaika mtenda mema na mleta mema
 
Kama mkweli aseme kwa nini wakati ule hakukataa mafao ya ubunge ambayo ni zaidi ya ml 150.
Wewe una akili kweli..?

Kwani mafao ya ubunge (kama alipewa kweli) ni hongo? Ni rushwa?
Kwa nini hakupelekea waalimu au kuwatetea,leo kaona anakabwa anasema wenzake waongo,halafu anajifanya malaika mtenda mema na mleta mema
Wewe kichwa chako ni EMPTY SET bila shaka...?

Unataka kuwadhalilisha walimu wetu?

Wewe ulishawapelekea hao unaowaita "Walimu" shilingi ngapi..?

Argument yako ni kama mtoto wa darasa la pili vile...
 
Wewe una akili kweli..?

Kwani mafao ya ubunge (kama alipewa kweli) ni hongo? Ni rushwa?

Wewe kichwa chako ni EMPTY SET bila shaka...?

Unataka kuwadhalilisha walimu wetu?

Wewe ulishawapelekea hao unaowaita "Walimu" shilingi ngapi..?

Argument yako ni kama mtoto wa darasa la pili vile...

Aina hii ya vijana:

GgorHp4XUAAE0_u.jpeg

Hawana mchango wowote kwa taifa hili!
 
Back
Top Bottom