Mugabe apumzike haraka
Mugabe apumzike haraka
huku anaesema hayo ni mtu wa mdomo na makelele bure tu,Long live TAL:
View attachment 3196790
Huu ni mwendelezo wa mada zikiongelewa humu kwa muda mrefu:
Pia soma: Tuzitambue tofauti za vyama vya upinzani (ACT, CHADEMA, CUF, nk) na Wanaharakati
Pia soma: Ukombozi dhidi ya CCM utapatikana na wanaharakati sio na wanasiasa
Hapo ni dream team ikipanga mikakati:
View attachment 3196800
Wenginewe ni hawa chawa tunaopishana nao humu mitandaoni. Hakuliki hakulaliki, almaarufu ndugu Mugabe hapeani kijiti.
Fortilo, Fundi Nchundo na wale wenginewe kazi mnayo!
Hizi siasa uchwara za kuitana Chawa mnazitoa wapi kaka?
Tafadhali wacha hilo neno... Tungefahamiana kwenye real world usingekaa utumie hilo neno kwangu.
Pls stop this
Jiwe gizani.
Amenena vema kabisa
Kama mkweli aseme kwa nini wakati ule hakukataa mafao ya ubunge ambayo ni zaidi ya ml 150.Kwa nini hakupelekea waalimu au kuwatetea,leo kaona anakabwa anasema wenzake waongo,halafu anajifanya malaika mtenda mema na mleta mema
Wanaharakati wanastahili kupewa maua yao.huku anaesema hayo ni mtu wa mdomo na makelele bure tu,
bila busta ya mambwenyenye ya magharibi yanayombackup , muungwana hafurukuti kabisa 🐒
Wewe una akili kweli..?Kama mkweli aseme kwa nini wakati ule hakukataa mafao ya ubunge ambayo ni zaidi ya ml 150.
Wewe kichwa chako ni EMPTY SET bila shaka...?Kwa nini hakupelekea waalimu au kuwatetea,leo kaona anakabwa anasema wenzake waongo,halafu anajifanya malaika mtenda mema na mleta mema
Wanaharakati wanastahili kupewa maua yao.
Wanasiasa ni watu waongowaongo, wanakula rushwa.
Wewe una akili kweli..?
Kwani mafao ya ubunge (kama alipewa kweli) ni hongo? Ni rushwa?
Wewe kichwa chako ni EMPTY SET bila shaka...?
Unataka kuwadhalilisha walimu wetu?
Wewe ulishawapelekea hao unaowaita "Walimu" shilingi ngapi..?
Argument yako ni kama mtoto wa darasa la pili vile...
Mungu ametupa zawadi Pekee ya Tunfu LissuLong live TAL:
View attachment 3196790
Huu ni mwendelezo wa mada zikiongelewa humu kwa muda mrefu:
Pia soma: Tuzitambue tofauti za vyama vya upinzani (ACT, CHADEMA, CUF, nk) na Wanaharakati
Pia soma: Ukombozi dhidi ya CCM utapatikana na wanaharakati sio na wanasiasa