James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Nimegundua mihemuko ya kisiasa inawapoteza njia sahihi ya kutafakari. Sasa mmeishiwa sera kabisa.Achana na Mabeberu, enzi za Commonwealth kutawala East na South Africa kahawa, chai, mkonge, tumbaku, pamba kutoka East na South Africa vilikua na soko zuri duniani. Tulipojiunga na Eastern Block enzi za Cold War, walianza kununua chai na kahawa ya Colombia.
Watu tunatofautiana kujua vitu vya maana kunena, Mimi nilichoona umenena cha maana ni ile "ijumaa njema"! Hahahahaaah!
Mkuu siwezi kuwaunga mkono hata kidogo,Katika dunia ya leo watu wanaishi kwa kutegemeana sana na Tundu Lissu yuko sahihi kabisa kwa kusema sisi tunawahitaji "mabeberu" zaidi kuliko wao wanavyotuhitaji sisi.
Halafu hao "mabeberu" wana pombe tamuu! Kama unawachukia kweli acha kunywa Courvoisier na Jack Daniels hamia kwenye pombe ya mnazi au chibuku! Mimi nazipiga za "mabeberu", wewe ukizira wenzako twala.
Jamani, Ijumaa njema ππ½ππ½
jenga urafiki na matajiri uwe tajiri
Halafu mabeberu wakiwaambukiza ushoga mje hapa kulialiaKatika dunia ya leo watu wanaishi kwa kutegemeana sana na Tundu Lissu yuko sahihi kabisa kwa kusema sisi tunawahitaji "mabeberu" zaidi kuliko wao wanavyotuhitaji sisi.
Halafu hao "mabeberu" wana pombe tamuu! Kama unawachukia kweli acha kunywa Courvoisier na Jack Daniels hamia kwenye pombe ya mnazi au chibuku! Mimi nazipiga za "mabeberu", wewe ukizira wenzako twala.
Jamani, Ijumaa njema [emoji1417][emoji1417]
Kwelijenga urafiki na matajiri uwe tajiri
Halafu mabeberu wakiwaambukiza ushoga mje hapa kulialia
Hizo nondo ulizoshuka hapo umenikumbusha History Paper 3,usikute tulikuwa drs moja.Achana na Mabeberu, enzi za Commonwealth kutawala East na South Africa kahawa, chai, mkonge, tumbaku, pamba kutoka East na South Africa vilikua na soko zuri duniani. Tulipojiunga na Eastern Block enzi za Cold War, walianza kununua chai na kahawa ya Colombia.
Yeah najua Lissu atafanya hivyoMimi ni mwanamme rijali lakini kama wewe ni msagaji fanya kwa raha zako Lissu ataheshimu faragha yako.
Mimi sijui mabeberu ni Akina nani na nchi wahisani ni zipiKatika dunia ya leo watu wanaishi kwa kutegemeana sana na Tundu Lissu yuko sahihi kabisa kwa kusema sisi tunawahitaji "mabeberu" zaidi kuliko wao wanavyotuhitaji sisi.
Halafu hao "mabeberu" wana pombe tamuu! Kama unawachukia kweli acha kunywa Courvoisier na Jack Daniels hamia kwenye pombe ya mnazi au chibuku! Mimi nazipiga za "mabeberu", wewe ukizira wenzako twala.
Jamani, Ijumaa njema ππ½ππ½
Mtia nia wa ubunge kwa tiketi ya ccm Amer rutty alipoliwa kiboga na bwana wak na mwanaccm james delicious kusambaza video zake kwani walisaidiwa na mabeberu?Halafu mabeberu wakiwaambukiza ushoga mje hapa kulialia
Amber rutty alitia nia jimbo gani? Acha kufuatilia mambo ya udaku mtoto wa kiumeMtia nia wa ubunge kwa tiketi ya ccm Amer rutty alipoliwa kiboga na bwana wak na mwanaccm james delicious kusambaza video zake kwani walisaidiwa na mabeberu?
Mlisoma sylbus za zamaniMkuu siwezi kuwaunga mkono hata kidogo,