Lissu yuko vema

Itakuwa ni ukichaa na uwendawazimu wa hali ya juu sana kumpa mtu kama lissu kuongoza CHADEMA.Ni bora kuokota mtu jalalani anayeokota Makopo kuliko kumpa uenyekiti lissu
Na Pia Ni Ukichaa na Uwenda wazimu
Watu wenye Akili Kubwa kuongozwa na Akili Ndogo
Yaani mnajiona mna Akili Kuongozwa Na ZERO kweli Tanzania Ina Vijana wa Hovyo
 
hata msipompa kwani ni lazima? Endeleeni na mfalme wenu mbowe asiye na mvuto wa kisiasa tena
 
Halafu chawa wake eti wanatuaminisha ktk chama hakuna mwenye uwezo zaidi ya mbowe

Hao wenye uwezo wakaanzishe vyama vyao, mbona Zitto aliweza na chama chake kipo vizuri hadi sasa? Lissu wiki mbili Tanzania miezi 6 Ubelgiji unaweza vipi kumkabidhi chama? Huyo huyo Lissu ni makamu mwenyekiti lakini anayoyatamka hayana tofauti na wapiga ramli chonganishi.

Simkubali Mbowe na pia binafsi sitopendelea chama kiwe chini ya mpayukaji Lissu.
 
Ushindani hauna maana, kinachozingatiwa ni yule anaetangaza matokea, atakavyoambiwa na sio kura. Nafikiri mlimuelewa mzee wa bao la mkono.
 
Itakuwa ni ukichaa na uwendawazimu wa hali ya juu sana kumpa mtu kama lissu kuongoza CHADEMA.Ni bora kuokota mtu jalalani anayeokota Makopo kuliko kumpa uenyekiti lissu
Lissu ni super giant opposition politician, ni jitu kubwa kisiasa, CCM wanaliogopa, hawalali usingizi mzuri wanaona ni jinamizi la kutisha. Wameona fursa iliyopatikana chadema kugnmbea uenyekiti wamshughulikie huko ndani ya chadema ili asipande juu na kuja kuwapelekesha mchakachaka kwenye uchaguzi mkuu ujao,
 
Wewe chawa sikiliza, vyama vya siasa sio mali za watu binafsi ni mali za umma
 
Itakuwa ni ukichaa na uwendawazimu wa hali ya juu sana kumpa mtu kama lissu kuongoza CHADEMA.Ni bora kuokota mtu jalalani anayeokota Makopo kuliko kumpa uenyekiti lissu
mkuu nawe unaijua chadema ?,

ni vyema ukaendelea kububujikwa na machozi ya furaha kuliko kuingilia mambo haya
 
Muda kwa chadema kumshughulikia lissu kisiasa hautoshi. Angetangaza mapema kusudio la kugombea nafasi ya mwenyekiti angeshughulikiwa mapema kwa kubambikiwa kashfa zimmalize mapema kabla hajatangaza kusudio. Ccm ndio hufanya hivyo kummaliza yule wasiyemtaka kama kwa lowassa na kashfa ya richmond, sumaye na mashamba ya mahindi, salim na hizbu. Athari za kutangaza mapema inafanya adui apange kashfa na kuanza kuimba na kuirudiarudia mpaka mkashifiwa anachukua fomu tayari wapiga kura hawana imani naye
 
Wewe chawa sikiliza, vyama vya siasa sio mali za watu binafsi ni mali za umma

Kama unajua ni mali ya umma kwanini nyie viberenge vya Lissu hamtaki kusubiri maamuzi ya kura yafanye maamuzi na badala yake kutwa mnalazimisha Mbowe asigombee?
 
Itakuwa ni ukichaa na uwendawazimu wa hali ya juu sana kumpa mtu kama lissu kuongoza CHADEMA.Ni bora kuokota mtu jalalani anayeokota Makopo kuliko kumpa uenyekiti lissu
Umesharukia kwa Mbowe sasa umeona Makonda,Kafulila na Samia wamekupotezea unajaribu bahati yako kwa Sultan Mbowe sasa lakini ogopa teknolojia
 
Attachments

  • Screenshot_20241218_213757.jpg
    195.1 KB · Views: 2
Itakuwa ni ukichaa na uwendawazimu wa hali ya juu sana kumpa mtu kama lissu kuongoza CHADEMA.Ni bora kuokota mtu jalalani anayeokota Makopo kuliko kumpa uenyekiti lissu
Mnaumia sana machawa wa ccm,na mmesimama kidete kumtetea Mbowe wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…