barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hata kwenye Ubunge kakabwa mbaya! Harudi bungeniMi namuaminia Tundu Lissu, kajitathmini na nafsi imemsuta. Kaamua achune kuepuka kusaliti fani yake ya uanasheria.
Chuna tu mjomba. Pata ubunge kisha kalianzishe bungeni kama kawa.
Nimeona wana Ukawa wanapenda sana kuulizia viongozi mahala walipo eti wakisema ni haki kujua viongozi wako wapi.
Hebu Ukawa tuelezeni lissu yuko wapi?
#hapakazitu
Hata kwenye Ubunge kakabwa mbaya! Harudi bungeni
Nimeona wana Ukawa wanapenda sana kuulizia viongozi mahala walipo eti wakisema ni haki kujua viongozi wako wapi.
Hebu Ukawa tuelezeni lissu yuko wapi?
#hapakazitu
Thubutu!serikali za mitaa aliwaachia vijiji vitatu,safari hii mkiambulia hata diwani mmoja ni maajabu.Njau wenu juzi kakimbia mdahalo.Singida mash. itakuwa mfano.Hata kwenye Ubunge kakabwa mbaya! Harudi bungeni
Nimeona wana Ukawa wanapenda sana kuulizia viongozi mahala walipo eti wakisema ni haki kujua viongozi wako wapi.
Hebu Ukawa tuelezeni lissu yuko wapi?
#hapakazitu
Yupo kuwait kwa gadafi
Hata kwenye Ubunge kakabwa mbaya! Harudi bungeni