Elections 2015 Lissu yuko wapi?

Elections 2015 Lissu yuko wapi?

Mi namuaminia Tundu Lissu, kajitathmini na nafsi imemsuta. Kaamua achune kuepuka kusaliti fani yake ya uanasheria.
Chuna tu mjomba. Pata ubunge kisha kalianzishe bungeni kama kawa.
 
Mi namuaminia Tundu Lissu, kajitathmini na nafsi imemsuta. Kaamua achune kuepuka kusaliti fani yake ya uanasheria.
Chuna tu mjomba. Pata ubunge kisha kalianzishe bungeni kama kawa.
Hata kwenye Ubunge kakabwa mbaya! Harudi bungeni
 
mh!bila shaka wahusika watukuwa wameona swali lako.ni mda wao kujibu😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:
 
yupo jimboni,anapiga jaramba siyo kawaida,msipoangalia magamba hampati diwani hata mmoja.
 
Hata kwenye Ubunge kakabwa mbaya! Harudi bungeni

Nimeona wana Ukawa wanapenda sana kuulizia viongozi mahala walipo eti wakisema ni haki kujua viongozi wako wapi.

Hebu Ukawa tuelezeni lissu yuko wapi?

#hapakazitu

Lissu jana alikuwepo jimboni,kwa taarifa yenu huku kwa lissu hata aje JK kugombea ubunge hatoboi,jamaa anakuja kutalii anaenda kuongeza nguvu kwingine.
 
Hata kwenye Ubunge kakabwa mbaya! Harudi bungeni
Thubutu!serikali za mitaa aliwaachia vijiji vitatu,safari hii mkiambulia hata diwani mmoja ni maajabu.Njau wenu juzi kakimbia mdahalo.Singida mash. itakuwa mfano.
 
Kampeni imekua ngumu kwake uwezekano wa kurudi ni mdogo sana fedha za kampeni ATM ya ukawa haina fedha tena uuuuuuuwwiiiii shida
 
Back
Top Bottom