Labda
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮Kiumbe kinachougusagusa na kuuchokonoa muungano hakitufai,
Mkoloni halisi wa Zanzibar ni ccm pekee akisaidiwa na hao uliowataja.Kwahiyo unahisi kuwa Chairman wa CCM inakutosheleza kufanya unachotaka? Ukoloni wa Tanganyika kwa Zanzibar unalindwa na CCM, Tiss na JWTZ. Kwahiyo yeye kama yeye hawezi kuwa na maamuzi bila ya kupata support kutoka kwenye makundi hayo matatu.
Mkoloni halisi wa Zanzibar ni ccm pekee akisaidiwa na hao uliowataja.
Tanganyika ni mhanga tu, anasingiziwa
Mpuuzi tu huyu