List Konk za Wasanii 10 bora barani africa zilizotazamwa sana youtube na List konk ngoma 10 bora za bongofleva zilizofanya vizuri mwaka 2018.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
Kichwa cha habari kama kinavyosema hapo juu.
Zifuatazo ni list za wasanii 10 barani afrika ambapo wameweka record za ngoma zao kutazamwa sana katika mtandao wa YOU TUBE kwa MWAKA 2018.
1.P-Square- 676M+
2.Davido-649M
3.Diamond Platnumz-516M+
4.Mr.Flavor-434M+
5.TeknoMile-369M+
6.YemiAlade-290M+
7.Timaya-193M+
8.Harmonize-183M+
9.Patoraking-173M+
10.Mreazi-166M+

Now Ngoma 10 bora zilizofanya vizuri katika bongoflevani MWAKA 2018.
1.Kwangwaru-Harmonize
2.African Beauty-Diamond Platnumz ft Omario
3.Iokote-Maua Sama
4.Mwanza-Rayvanny ft Diamond Platnumz
5.Mvumo wa radi-AliKiba
6.Hodari-Mboso
7.Gogaga-Iamlavalava
8.Jibebe-Diamond Platnumz
9.Katika-Navykenzoofficial ft Diamond Platnumz
10.Ninogeshe-Nandy.
 
Tume ya ushindani Tanzania iangalia jinsi ya kuwadhibiti hawa Wasafi,yaani kuwe levo sawa uwanjani.
Sijui clouds wanajifunza nini hapa
 
iiiiiii.PNG
iii.PNG
 
Hongera diamond kuwa top 5 in africa!

Sio jambo dogo
 
Kwamba katika hio list hawapo wakija Cassper Nyovest na AKA hapo bado umechakachua maana list inaonekana ni umeangalia East Africa na West Africa umesahau Southern Africa...
 
Kwa sasa kmchukia Diamond ni kujitaftia vidonda vya tumbo....jamaa anasepa kinyama..nimesikia leo cloud wanadai et ngoma kali 2018 ni Iokote...yan wanasema hvo af nyumbam wanafungulia Kwangw'aruu...wanatangaza bas tu mkono usepe kinywan
 
Kichwa cha habari kama kinavyosema hapo juu.
Zifuatazo ni list za wasanii 10 barani afrika ambapo wameweka record za ngoma zao kutazamwa sana katika mtandao wa YOU TUBE kwa MWAKA 2018.
1.P-Square- 676M+
2.Davido-649M
3.Diamond Platnumz-516M+
4.Mr.Flavor-434M+
5.TeknoMile-369M+
6.YemiAlade-290M+
7.Timaya-193M+
8.Harmonize-183M+
9.Patoraking-173M+
10.Mreazi-166M+

Now Ngoma 10 bora zilizofanya vizuri katika bongoflevani MWAKA 2018.
1.Kwangwaru-Harmonize
2.African Beauty-Diamond Platnumz ft Omario
3.Iokote-Maua Sama
4.Mwanza-Rayvanny ft Diamond Platnumz
5.Mvumo wa radi-AliKiba
6.Hodari-Mboso
7.Gogaga-Iamlavalava
8.Jibebe-Diamond Platnumz
9.Katika-Navykenzoofficial ft Diamond Platnumz
10.Ninogeshe-Nandy.
Ama hakika mleta uzi ni WCB
 
mapenzi na kukariri ni kubaya sana mkuu, ungeomba hata link basi kuliko kubisha bila evidence
 
Kwa sasa kmchukia Diamond ni kujitaftia vidonda vya tumbo....jamaa anasepa kinyama..nimesikia leo cloud wanadai et ngoma kali 2018 ni Iokote...yan wanasema hvo af nyumbam wanafungulia Kwangw'aruu...wanatangaza bas tu mkono usepe kinywan
wanasema mdomoni tu ila mioyoni mwao wanaujua ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom