List mpya: Mikoa kumi (Bara) kinara kwa uchawi

Halafu ndio inaongoza kwa umaskini na kiwango kidogo cha ufaulu
Hii ni list ya mikoa kumi inayoongoza kwa uchawi Tanzania. Kama warning ukielekea huko kuwa na tahadhari.
1.Shinyanga
2. Rukwa
3. Kigoma
4. Mtwara
5. Tanga
6. Simiyu
7. Lindi
8. Tabora
9. Ruvuma
10. KATAVI

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Kila mkoa una utamaduni wake wa ushirikina
Uchawi uko kila kona ya Tanzania hii hasa maeneo ambayo haayajaendelea kama mwenye uzi alivyoweka takwimu zake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni list ya mikoa kumi inayoongoza kwa uchawi Tanzania. Kama warning ukielekea huko kuwa na tahadhari.
1.Shinyanga
2. Rukwa
3. Kigoma
4. Mtwara
5. Tanga
6. Simiyu
7. Lindi
8. Tabora
9. Ruvuma
10. KATAVI

Sent using Jamii Forums mobile app

1. Mtwara Lindi Ruvuma
2. Rukwa Katavi Kigoma Tabora
3. Shinyanga Simiyu
4. Tanga
Namba 3 hakuna majirani? Mbona twaambiwa ndiyo waliowengi zaidi?
Namba nne nao hawana majirani?
 
Halafu ndio inaongoza kwa umaskini na kiwango kidogo cha ufaulu

Jr[emoji769]
kweli kabisa, na vile mikoa kaa kigoma, tanga na rukwa ilivyojaliwa na mungu kwa kuwa na natural resources nzuri kweli, good and fertile soil, enough rainfall and such
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…