List mpya: Mikoa kumi (Bara) kinara kwa uchawi

List mpya: Mikoa kumi (Bara) kinara kwa uchawi

Napata wakati mgumu kuamini Romania wanaongoza duniani. Wana uchawi upi na kwa lipi? Halafu Nigeria ya 5?
Naomba ufafanuzi...
Zijue nchi 14zinazoongoza kwa uchawi duniani

14.Tanzania
13. Gambia
12. Nepal
11. India
10. Papua New Gambia
9. West india
8. Colombia
7. Ghana
6. DRC
5. Nigeria
4. S.A
3. Chile
2. Mexico
1. Romania


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoa mada pia mchawi.tupe vielelezo vigezo wahusika uliowatumia utafiti uliufanya mwenyewe .
uchawi upo kila sehemu viwango vmetofautiana tu
 
Jamani sasa kama hiyo mikoa 10 imeizidi Mbeya na Njombe na yeye kataka kuweka top 10 tu?? Binadamu bana!!

Heaven Sent njoo uone jinsi binadamu walivyo na husuda na wivu juu yetu sisi makuhani tulioteuliwa na muumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna viwango huko Mbeya na Njombe. Watu mnaotoka kusini njanda za juu mnajua tu wakina Mwandulami kuna watu huko sumbawanga wanaweza hamisha mpaka mto maji yanapanda mlima, violation of gravitational law. Nyie cha mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom