Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes. Dar ndio #1Bila dar hii listi ni batili
Mbeya inaongoza kwa upako.Jamani sasa kama hiyo mikoa 10 imeizidi Mbeya na Njombe na yeye kataka kuweka top 10 tu?? Binadamu bana!!
Heaven Sent njoo uone jinsi binadamu walivyo na husuda na wivu juu yetu sisi makuhani tulioteuliwa na muumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Wrong. Kama Dar haimo list imekosewaHii ni list ya mikoa kumi inayoongoza kwa uchawi Tanzania. Kama warning ukielekea huko kuwa na tahadhari.
1.Shinyanga
2. Rukwa
3. Kigoma
4. Mtwara
5. Tanga
6. Simiyu
7. Lindi
8. Tabora
9. Ruvuma
10. Katavi
Sent using Jamii Forums mobile app
Bagamoyo kule kuna wazee hatali plus kisarawe huko kote ni kugumu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh!! Basi ukija kurudia uwache ubaguzi.
Kumbe hata huelewi uliandika nini, kila jamii zamani ilikua na tamaduni za imani za asili kama matambiko, mizimu, tiba, na mengineyo ( karne hii jumla ya haya ndio huitwa ushirikina). Toka zamani wachawi walifanya shughuli zao mafichoni na jamii pia iliwachukia wachawi, hivyo huwezi kuunganisha vyote pamoja.Wewe pia utakuwa umefanya list hii iwe kama ilivyo. Hakuna line inayotofautisha Ushirikina na uchawi wote ni wanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushirikina ni imani yeyote potofu, ila uchawi sio imani ni kazi[emoji1][emoji1][emoji1]Wewe pia utakuwa umefanya list hii iwe kama ilivyo. Hakuna line inayotofautisha Ushirikina na uchawi wote ni wanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Israel, USA, England na Italy haipo iyo list ni ya uongoZijue nchi 14zinazoongoza kwa uchawi duniani
14.Tanzania
13. Gambia
12. Nepal
11. India
10. Papua New Gambia
9. West india
8. Colombia
7. Ghana
6. DRC
5. Nigeria
4. S.A
3. Chile
2. Mexico
1. Romania
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijiji hiki hapa pekee cha wachawikiko Ghana, ulishawahi kukisikia?Zijue nchi 14zinazoongoza kwa uchawi duniani
14.Tanzania
13. Gambia
12. Nepal
11. India
10. Papua New Gambia
9. West india
8. Colombia
7. Ghana
6. DRC
5. Nigeria
4. S.A
3. Chile
2. Mexico
1. Romania
Sent using Jamii Forums mobile app
We ni mmoja wa mchawi wanaokea huko?Unaachaje Mbeya na Njombe?
ze farmer
Kumbuka Njombe na Iringa are different!!Unaachaje kutaja Iringa?
Mkuu kama matambiko, mizimu, tiba nayo ni ushirikina basi Tanzania ni namba moja kwa ushirikina. Hizo huitwa imani za asili sio ushirikina. Hawa bwana zenu mnaowaabudu wazungu walivyoleta dini zao waliita zenu ni ushirikina na mpaka leo mkapoteza nuru na kuita asili yenu ushirikina. Uzi huu unahusu uchawi kwa tafsiri pana yake ile unaweza kumtoa nyeti mtu, kumtumia mwenzio simba, kusuka radi n.k. Sasa mimi nimechimba mzizi kama dawa nimekunywa unaniita mshirikina mkuu tafadhali bana tuheshimiane.Kumbe hata huelewi uliandika nini, kila jamii zamani ilikua na tamaduni za imani za asili kama matambiko, mizimu, tiba, na mengineyo ( karne hii jumla ya haya ndio huitwa ushirikina). Toka zamani wachawi walifanya shughuli zao mafichoni na jamii pia iliwachukia wachawi, hivyo huwezi kuunganisha vyote pamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni utafiti mkuu umezingatia vigezo vyote vya kiutafitiOooh!! Basi ukija kurudia uwache ubaguzi.
Mambo yanaendaje hapo Shinyanga.?Kila mkoa una utamaduni wake wa ushirikina
Uchawi uko kila kona ya Tanzania hii hasa maeneo ambayo haayajaendelea kama mwenye uzi alivyoweka takwimu zake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuongeze bidiiPole mkuu kazaneni tutatoa list mpya mwakani mnaweza ingia top 10
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha watu wana wivu sana na makuhani. Washindwe na walegee