List mpya: Mikoa kumi (Bara) kinara kwa uchawi

List mpya: Mikoa kumi (Bara) kinara kwa uchawi

Wewe pia utakuwa umefanya list hii iwe kama ilivyo. Hakuna line inayotofautisha Ushirikina na uchawi wote ni wanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hata huelewi uliandika nini, kila jamii zamani ilikua na tamaduni za imani za asili kama matambiko, mizimu, tiba, na mengineyo ( karne hii jumla ya haya ndio huitwa ushirikina). Toka zamani wachawi walifanya shughuli zao mafichoni na jamii pia iliwachukia wachawi, hivyo huwezi kuunganisha vyote pamoja.

Mkuu kama matambiko, mizimu, tiba nayo ni ushirikina basi Tanzania ni namba moja kwa ushirikina. Hizo huitwa imani za asili sio ushirikina. Hawa bwana zenu mnaowaabudu wazungu walivyoleta dini zao waliita zenu ni ushirikina na mpaka leo mkapoteza nuru na kuita asili yenu ushirikina. Uzi huu unahusu uchawi kwa tafsiri pana yake ile unaweza kumtoa nyeti mtu, kumtumia mwenzio simba, kusuka radi n.k. Sasa mimi nimechimba mzizi kama dawa nimekunywa unaniita mshirikina mkuu tafadhali bana tuheshimiane.
 
Back
Top Bottom