List mpya ya viwango vya FIFA iliyotoka leo 14/07/2016

List mpya ya viwango vya FIFA iliyotoka leo 14/07/2016

Mechi za kufuzu euro haikufanya chochote!??
Duu mie nashindwa kuelewana na wewe Yasin21...ila kubali kataa kuna kitu kwa mabara mengine maana ukiniambia kupanda kwa kufuzu kwenda Euro hata kwao Chile ana point za kufuzu kwenda ile Copa ya mwaka jana mbona alikua 7 na Belgium akawa 3 au wa 5 hivi...na hizo mechi za kufuzu zina point chache kulinganisha na final yenyewee...hapa kuna namna kwa Ulaya tukatae tukubali...haya muangalie Iceland tokea 131 mpk huku juu kisa yale mashindano ama vipi nae?!!
 
ingengua hizo nafas ni fedha, tungeongoza kwa kuwa na fedha nyingi
 
Argentina kawekwa nafasi ya Chile,Belgium kawekwa nafasi ya Argentina, halafu wangefuata Germany,Colombia, Portugal etc.
 
Duu mie nashindwa kuelewana na wewe Yasin21...ila kubali kataa kuna kitu kwa mabara mengine maana ukiniambia kupanda kwa kufuzu kwenda Euro hata kwao Chile ana point za kufuzu kwenda ile Copa ya mwaka jana mbona alikua 7 na Belgium akawa 3 au wa 5 hivi...na hizo mechi za kufuzu zina point chache kulinganisha na final yenyewee...hapa kuna namna kwa Ulaya tukatae tukubali...haya muangalie Iceland tokea 131 mpk huku juu kisa yale mashindano ama vipi nae?!!
chile amecheza na timu zenye nafasi za chini kwenye viwango vya fifa
 
Brazil hakutakiwa kuwepo top ten inamaana kawazidi hata Croatia Italy,Mexico na Paraguay? Wakati hata robo fainali hakufika,inakuwaje hapo
 
List mpya ya FIFA iliyotoka 01/06/2017 nyingine itatoka 6/7/2017

.1 Brazil
2 Argentina
3 Germany
4 Chile
5 Colombia
6 France
7 Belgium
8 Portugal
9 Switzerland
10 Spain
Mpangilio uko hivi wa FIFA

1.Argentina

2.Belgium

3.Colombia

4 Germany

5. Chile

6 Portugal

7.France

8.Spain

9.Brazil

10 Italy

11 Wales

Kwa upande wa Afrika Mashariki yaani Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda, nchi ya Uganda imeonekana kuongoza kwa kuwa nafasi ya 69 ikifuatiwa na Kenya 86, Rwanda 111 na Tanzania ikiwa nafasi ya 123. Hii ni list mpya ambayo imetoka leo July 14 2016,
 
Back
Top Bottom