List of 7 luxurious hotels owned by Uhuru’s family

List of 7 luxurious hotels owned by Uhuru’s family

1. Great Rift Valley Lodge and Golf Resort
2. Kipungani Explorer
3. Mara Explorer
4. Samburu Interpids Luxury Tented Camp
5. Mara Interpids Luxury Tented Camp
6. Voyager Ziwani
7. Voyager Beach Resort

List of 7 luxurious hotels owned by Uhuru’s family [Photos]
sio hotels pekee na pia robo ya ardhi kenya nzima anamiliki kenyatta😂😂😂👇👇
2053F16D-E9AD-4F65-9303-E4240D06B3F2.jpeg
 
Uhuru is a black man. Meanwhile, endeleeni kufirwa na Wahindi na Waarabu.
ndio huyu uhuru 😂😂👇👇👇👇
mtu mmoja anamiliki robo nzima ya nchi alaf wengine muko nairobi kwenye slums ambazo hata nguruwe hawez kuishi👇👇
FF33E201-ADBD-41CA-85B9-D85CADD3A012.jpeg
 
Ahaaa haaa haaa
Hata kuna siku nikawa nawaambia waKenya waliokuwa wanafurahia kilimo cha horticulture na floriculture. Nikawaambia go and lift the veil to see who are owning those horticulture companies.
ni wazungu settlers wanaotumia arable land kupanda maua huku wakiwaacha wakenya kila mwaka na njaa
 
Hawa ni wa asia siyo watanzania.Watanzania ukimilki mali ni fisadi wanasema watu walime wajenge viwanda huku wanakatazwa wasiwe na hekari
aliekwambia hayo maneno nani au umeyatoa kwenye kitabu kipi???

tajiri namba moja africa mashariki na kati anatokea tanzania sasa nshangaa maneno yako hayafanani na ubongo wako😂😂👆👆👆
 
Hiyo list niliyotoa ya wenye nchi wanaoimiliki Tanzania imeuma kweli. Povu tu. Naona akina Geza wamefungua mithread kweli kweli. Heko kwa wahenga, ukweli huuma.😀😀😀
 
Nitaweka wazawa weusi watoto wa mababu zetu, sio kama nyie nchi imemilikiwa na Waarabu ambao mababu zao walikuja na kuwatesa kwenye utumwa wa kila aina.
Anzisha huo uzi asap, watoto wa mababu zenu wamejazana kibera, ilhali tajiri namba moja wlsio mzawa wala raia wa Kenya.
Tunaisubiria hiyo thread


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakolominje na watu wa Chato....Watanganyika wenye asili ya Kibantu wale hututambia humu kwamba waliikomboa Afrika, kumbe kwenye nchi yao hawana chochote maana Waarabu na Wahindi wamewamiliki....hehehe mtapata tabu sana nyie....hadi huruma na ndio maana wengi wenu mnaihama nchi na kuja kuwa omba omba Kenya.


Bhimji Depar Shah - Wikipedia
 
Back
Top Bottom